Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Rais Putin aamuru kikosi maalum cha Nyuklia kuwa katika tahadhari maalum "kiwango cha juu cha tahadhari"

Dalili za uoga, ameshindwa Vita ndogo anakimbilia nuclear. Nimemdharau Putin. Anaiangamiza Urusi kwa mikono yake.
Sijui kama nibuoga.
Fikiria hivi
Germany anapeleka 1,000 anti tank na ,SAM 500. USa anapeleka 1000 troop surrvillence spy drone kwa ajili ya air defence , Elon Musk na SpaceX kwa ajili ya cryberattack, Annomoyous hackers worldwide hao wengine bado hawajasema. Kwanza ni kidume hii vita imeisha. Mazungumzo yanaimaliza

Ikumbukwe kuwa lengonla Russia ni Ku Demiritalize na ku Neutralize capacity ya Ukraine kama mazungumzo yatafikiwa Ukraine itakuwa uchi sana na still bado hatajiunga NATO, japo Urusi itakabilina na vikwazo kiuchumi vikali

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo, imekubalika wakutane mpakani wote kwenye mazungumzo. Amegoma kwenda Belarus Kama proposal ya Russia ilivyotaka. Nimekubali Sana Rais wa Ukraines kwa uzalendo wake , hakukimbia nchi Bali ameenda uwanja wa Vita na kukataa proposal ya Putin. Mpaka kupelekea mpakani Yani neutral ground. Yule jamaa hamuogopi Putin.
Wewe una taarifa za jana!! Hebu jaribu kufuatilia live updates.. Ukraine baada ya kusikia masuala ya nuclear kakubali kukutana
 
Ndugu yangu Mungu ni mwema sana, hii taarifa maana yake Putin anashindwa vita Ukraine! Kweli ukijipandisha utashushwa. Na hiyo nuclear ni mkwara tu, mkwara mbuzi baada ya kuona mziki ni mnene.

Kweli putin majigambo tu, siku nne tu ushakimbilia polisi, eti Nuclear my foot!
Hata kuivamia Ukraine mliita mikwara,now Ukraine inachakaa.Soon itakuwa majivu.

Putin now hachek na mus*nge.
 
Kazidiwa tactics za kivita mbwa huyo Putin anatishia nyau nani?

Muda wake unahesabika muda wowote majeshi ya Russia yatamuua magenerali wengi wamegoma kushambulia Ukraine baada ya vikwazo vilivyoathiri akaunti zao nje na biashara zao nje

Putin muda wowote magenerali wa jeshi la Russia wanamchinja mbwa putin
Unamjua Putin kuliko warusi[emoji2]
 
Putin muoga ameona mambo magumu kageukia nuclear sasa nato nao wakiweka tayar ma nuclear yao russia si itaisha yote?! vita ni mbaya sana watakufa watu wengi wasio na hatia.

Aliemshauri hii vita kampeleka vibaya, kwanza hakufikiri angepata upinzani mgumu namna hii, na naona mwisho wake u karibu, kila kukicha anakutana na hali ngumu, financial institutions zake ziko isolated, 4 major banks zimekua disconnected from swift, central bank ya russia haiwez tena ku deploy reserve, masoko yoote ya hisa makampun yoote yamefutwa, Nord stream 2 ishasahaulika, leo ndege zake zoote zimepigwa ban europe space, nchi kibao kwa sasa zinapeleka misaads ya kijeshi ukraine, hata ile speach yake ya atakaeingilia atakiona haina mashiko watu wametoka hadharani wakatoa silaha, uk leo imeenda mbali zaid ikatoa mpaka wanajeshi, sasa anasema eti nuke ikae tayari kuzuia sasa sio kupiga tena ni kuzuia
 
Ndugu yangu Mungu ni mwema sana, hii taarifa maana yake Putin anashindwa vita Ukraine! Kweli ukijipandisha utashushwa. Na hiyo nuclear ni mkwara tu, mkwara mbuzi baada ya kuona mziki ni mnene.

Kweli putin majigambo tu, siku nne tu ushakimbilia polisi, eti Nuclear my foot!
Usiongee kishabiki Putin hajashindwa vita ila alishaonya ya kuwa atakae isaidia Ukraine atajuta sasa huyu mtu atishii anamaanisha huyu wanachokosea ulaya ni kutangaza kuwa tumetoa silaha mara wanajeshi sasa Putin anakwenda kufanya unyama mkubwa mno.
 
Hv unajua madhara ya nuclear!!??
unaangamiza ulimwengu wote

IMG_4848.jpg

I hope There probably aren't enough nukes on earth to turn it into this:
IMG_4850.jpg

IMG_4849.jpg
 
unaweza kuta yote hayana "fuse" press za button hola kitu hakinyanyuki...ita engineers for troubleshooting, dah unakutwa hapo hapo unakula kipigo cha mbwa mwizi....hawa cow boys sio watu wazuri..

Hittler alipimiwa akampiga mkwara UK, dunia haijakaa sawa akavamia USSR...Cow boy akashuka balaa likaanzia hapo hapo Germany..

Russia aache akili za kizamani aache watu wale bata...akumbuke vita ikiianza atakuwa under defensive mode maana wenzie wako mdomoni tayari..
 
Aliemshauri hii vita kampeleka vibaya, kwanza hakufikiri angepata upinzani mgumu namna hii, na naona mwisho wake u karibu, kila kukicha anakutana na hali ngumu, financial institutions zake ziko isolated, 4 major banks zimekua disconnected from swift, central bank ya russia haiwez tena ku deploy reserve, masoko yoote ya hisa makampun yoote yamefutwa, Nord stream 2 ishasahaulika, leo ndege zake zoote zimepigwa ban europe space, nchi kibao kwa sasa zinapeleka misaads ya kijeshi ukraine, hata ile speach yake ya atakaeingilia atakiona haina mashiko watu wametoka hadharani wakatoa silaha, uk leo imeenda mbali zaid ikatoa mpaka wanajeshi, sasa anasema eti nuke ikae tayari kuzuia sasa sio kupiga tena ni kuzuia
Angemsikiliza Chief Spy wake wasingefika hapa ila alitanguliza ubabe, huwezi kushinda battle kama wapiganaji wako hawana ila cause of the war yaani wanapigana tuu sababu ni amri, hawa wa Ukraine sababu wanayo lengo ni kudefend na mkong'oto tuu kaupata.

Tunawaombea amani.
 
Usiongee kishabiki Putin hajashindwa vita ila alishaonya ya kuwa atakae isaidia Ukraine atajuta sasa huyu mtu atishii anamaanisha huyu wanachokosea ulaya ni kutangaza kuwa tumetoa silaha mara wanajeshi sasa Putin anakwenda kufanya unyama mkubwa mno.
Dunia inasubiri na Raia wake pia wanamsubiri afanye huo unyama. Mtu mmoja hawezi amua kuwa sasa mwisho umefika. Hii ni DUNIA.
 
Back
Top Bottom