STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Alikuwepo kabla ukraine na Russia walikuwa marafiki. [emoji16][emoji16]CIA wakampindua hiyo 2014,na marekani akaweka kibaraka wake , mrusi akashituka sasa anaingiliwa , akakamata Crimea,, maana hapo kulikua na Navy base kubwa ya mrusi. Na Walihofia Rais mpya atawafukuza maana alikuwa anapokea amri toka marekani.Putin lengo lake ni kumpindua Rais wa Ukraine aliekuwepo na kuweka puppet wake .Urusi wanataka kuweka Rais mpya Ukraine atakaefuata maagizo ya Putin.
Hao akina Bush mbona alishawapiga matukio?
Ulikua ahule ya msingi Nini?
Mwenzako kashakandamiza anga ya ukraine hakuna ndege yoyote inayoweza kuruka isithibitiwe na tayari watu saba wamepoteza maisha na ukraine analialia hajajibu chochoteKatika maisha ya kawaida, ukiona mtu anatoa vitisho vingi, bai ujue mtu huyo hana au ana uwezo mdogo wa kumkabili adui au mpinzani wake na hii ni katika hata ngumi za mitaani au mashuleni.
Vitisho mara nyingi hutumika kwa lengo la kumuogopesha mpinzani au adui asianzishe mapambano kwasababu mtoa vitisho anajua mpambano ukianza hatoweza kumshinda adui au mpinzani wake hivyo ni bora kujihami kwa kuhakikisha mapambano hayayokei na hiki ndio anachokifanya Puttin.
Mpambano utachukua muda tofauti na tulivyoona kwa kina Saddam na wengine ila mwisho wa siku Russia atashindwa bila kujadili Marekani ataingia pekee yake au na washirika wake wa NATO.
Mbali na teknolojia, uwezo wa kiuchumi katika vita ni moja ya factor muhimu katika kuamua mshindi wa vita na uchumi wa Russia sio wa kuulinganisha na ule wa Marekani na washirika wake wa Ulaya.
Vile vile Marekani na Ulaya wataanza kuiwekea vikwazo Russia kama njia ya awali ya kuidhooifisha kiuchumi kabla ya kuingia katika vita halisi iwapo watafika huko.
Puttin anawaza makombora na zana zake za kijeshi wenzake wana-consider all factors na kujipanga kabila hawajaingia katika uwanja wa vita.
Hata kama vita isipotokea, wamerekani kwa kushirikisha na mataifa ya Ulaya, watafanya lila njema kumuondoa Puttin kwani kwa ssaa ni tishio kwao na hawatakubali aendelee kubaki madarakani.
Time will tell.
Aliyeomba makombora ya urusi(USSR) yaondolewe Cuba ni nan!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kusema ni mkubwa sana lakini nilikuwa nipo ila nataka nikwambie mrusi hawezi gusa marekani hata kidogo..... ninachokiona hapo swala la haki za binadamu maana watakufa watu wasio na hatia na unapotaka kuanzisha vita inabidi roho mbaya vbaya sasa Mzee Biden yule mambo Hayo Hayawezi...... hii ngoma kuna watu wangicheza vyema na mapema hata asingeingia huko mrusi ila sasa unaona diplomasia imeshika hatamu na muda ukifika utaona kichapo kinatembea
Lengo lake halikuwa just to kill them ila extermination kabisa. Kuua 6 out of 11 ndo kuwapoteza kwenye ramani ya dunia? Leo Wayahudi hawapo?Lakini lengo la Adolf Hitler halikutimia? 6 million Jews, a total of more than 11 million people perished!
Ila point ni kuwa hajakubaliwa kuingia NATO. Still Putin anavamia Kiev lengo ni kuweka kibaraka wake .Alikuwepo kabla ukraine na Russia walikuwa marafiki. [emoji16][emoji16]CIA wakampindua hiyo 2014,na marekani akaweka kibaraka wake , mrusi akashituka sasa anaingiliwa , akakamata Crimea,, maana hapo kulikua na Navy base kubwa ya mrusi. Na Walihofia Rais mpya atawafukuza maana alikuwa anapokea amri toka marekani.
Hapo ndo kuelewana kati ya ukraine na Russia kukafikia mwisho,
Uchaguzi uliofuata akaingia Rais Zelensky,, huyu slikua mchekeshaji wa TV kama akina Masanja mkandamizaji vile huyu akawa karibu zaidi na marekani na akaomba ukraine ijiunge na EU na pia NATO,
Big mistake
Nonsense, Russia sio Tanzania.Watu JF wamejaa Sana na mihemko kumwona Russia anamzidi marekeni kila kitu...US Ni habari nyingine guys ..don't take Hilo taifa cheap Kama mnavodhanj ..Russia akigusa marekani hata kambi zake atabutuliwa hamta amini
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
This is nonsense.urusi sio Libya.Utakuta mapiganoooooo miaka kadhaa,halafu Putin anakamatwa ananyongwa hah! Kama Sadam ilikuwa hivihivi
hakika mkuu watu wanadhani hii ni game au movie za rambo2020 Mchina alituchagulia maisha ya dunia kujifungia na kunawa mikono hadi leo.
Na sasa Putin ameamua aharibu uchumi wa dunia.
Yetu macho na sala
Huo wote ni mkwara tu ila mpambano ukianza(kama watafika huko) baada ya muda ndio tutajua nani ni nani.Mwenzako kashakandamiza anga ya ukraine hakuna ndege yoyote inayoweza kuruka isithibitiwe na tayari watu saba wamepoteza maisha na ukraine analialia hajajibu chochote
huyo demu vipi umetuekea na namba yake unataka tukamle kimasihala au[emoji16][emoji16]View attachment 2129807
Wewe akili hauna, mtu amesha vamiwa uko na kipigo kimeanza kutolewa
Mjomba waambie wapige. Marekani marekani mwanaume kashadindiisha huko. Muda wa porojo ulishapita.Usifananishe Ukraine na Iraq ndg.Marekani aliivamia Iraq baada ya kua amehakikisha S.Hussein hana chochote cha kuwasumbua.Kumbuka Marekani alikua ashaingia Iraq muda tu tofauti na hali tunayoishuhudia kwa sasa kati ya Urusi na Ukraine.
Kwani anaepigana ni bush au jeshi. Kumbukeni marekani ni taifa na pale sio Syria. .Na huyu bahati yake kakutana na wazee hawa Wapole!!!! Angekutana bush na hakika mpaka dakika hii asingekanyaga iyo ardhi ya Ukraine