Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
 
Sio kwa kipindi hiki ambacho Mrusi yuko nyuma ya mu Iran.
 
Ungejua kwamba kwenye jeshi na Baraza la mawaziri wa Iran Kuna wayahudi waliopandikizwa usingeanza kushangilia.
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...
 
Iran kazipiga F-35 25 kwenye base mpaka leo Marekani na Israel wanaangaliana tu hawajui nini kimetokea.
Hapo zilikuwa kwenye Base lakini zikiruka angani kwenda kushambulia ni habari nyingine!
 
Hakuna cha bure kwenye silaha.
Anzisha ugomvi watu wapige pesa za silaha.
Yeye Iran anaweza kutoa mafuta yake bure bure?
Lkn hata yy katuma kamikaze Russia na makombora na magari au umesahau?
 
Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Isr

Mnawaona Watanzania wajinga sana yaani Baraza lililopandikizwa lisitoe taarifa za kijeshi wanazofanya Iran kila wanapoamua kupiga Israel...
Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?
Secretary wa Chancellor wa West Germany alikua amepandikizwa na HONECKER.
 
Unanikumbuka ERICH HONECKER wa ujerumani mashariki na Chancellor Willy Brand wa West Germany enzi zile?
Secretary wa Chancellor wa West Germany alikua amepandikizwa na HONECKER.
Mkuu mimi sikatai ila sio kila sehemu haya mambo yapo kirahisi kama mnavyoandika humu wale wakushi wenyewe tu hawajiamini harafu atoke mtu nje sijui..
 
Mrusi hawezi fanya huo ujinga wa kumuuzia mtu ndege ya kisasa mtu ambaye anaweza dunguliwa muda wowote na watu wakaondokanna siri za kambi.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-10-11-00-19-56-954.jpg
    344.8 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…