Ndege hizo hata kabla hazijafika Iran na marubani wao watauliwa na myahudi, tena kule kule Russia, najua huamini, ila muulize General wa Iran wa Jeshi aliyempokea Sulemani aliyeuawa na US kwa drone, kakimbia hajulikani alipo,..!!
Myahudi kaamua kuwafagia proxies wa Iran wote na sponsors wao Iran atakuwa kama Iraq, sbb dunia nzima na US Military wameamua kummaliza Iran ila wasitangaze, utaona kama jana ndege vita 100 za IDF zimepiga vibaya sana sites 120 za Hezbollah wanafagia fagia sana mabaki, baada ya hapo proxies wakiiisha wanaenda kwa Sponsor wao Iran, wanafagia kabisa