Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Ndege hizo hata kabla hazijafika Iran na marubani wao watauliwa na myahudi, tena kule kule Russia, najua huamini, ila muulize General wa Iran wa Jeshi aliyempokea Sulemani aliyeuawa na US kwa drone, kakimbia hajulikani alipo,..!!

Myahudi kaamua kuwafagia proxies wa Iran wote na sponsors wao Iran atakuwa kama Iraq, sbb dunia nzima na US Military wameamua kummaliza Iran ila wasitangaze, utaona kama jana ndege vita 100 za IDF zimepiga vibaya sana sites 120 za Hezbollah wanafagia fagia sana mabaki, baada ya hapo proxies wakiiisha wanaenda kwa Sponsor wao Iran, wanafagia kabisa
Hizi taafia za ndege 100 kuipiga beirut mnazitoa wapi? Aljazeera wenyewe wanashinda wakitangaza habari za gaza na beirut mbana sijaiona hii habari?
Beirut inappigwa kweli lakini si kwa kiwanho mnachosema...punguzeni mahaba.
 
Wanaukumbi.

Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!

kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa Iran nchini Urusi, zinaonyesha uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya mataifa hayo mawili.

View: https://x.com/captcoronado/status/1843273825686884486?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

ndizo anazoringa nazo Israel na kuzitumia kuvunja nyumba na makaazi ya watu. Iran awe nazo tu hamna namna siku Israel akijitia wazimu Iran anageuka kuwa kichaa kabisa kisha tutahesabu magofu tu hapo Tel Aviv
 
Wameaminishwa chuki sana hawa wetu.

Ukiangalia kwa undani kabisa utaona kuwa Irani ni wakorofi tu na wameamua kujiingiza kwenye vita kwa kuunga mkono magaidi . Israel anajibu mapigo kwa kuchokozwa lakini kamwe hua hawaanzi kulipua mabomu bila kuchokozwa.
Waarabu wanakosea sana kuwajaza Wapalestina chuki wakati waarabu wamejazana dunia nzima na hawabaguliwi pamoja na ubaguzi walio nao . Mfano Afrika waarabu walikuja toka Oman karne nyingi na wanaishi kama raia . Leo haiwezekani kuwabagua waarabu walioko Afrika ili eti Warudi Omani japo kiasili hili sio bara leo.
Hali kadhalika wayahudi walitokea Ulaya wakarudi kwenye ardhi yao ya asili na wameshajiwekeza na wengine wamezaliwa pale hawana kosa. Kuwashambulia kwa lengo la kuwarudisha kwao ni uhasama mkubwa.
Uharo mtupu.
 
Wanaukumbi.

Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!

kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa Iran nchini Urusi, zinaonyesha uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya mataifa hayo mawili.

View: https://x.com/captcoronado/status/1843273825686884486?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ndege zenyewe zimeundwa na engineers na wanasayansi wa urusi wenye asili ya kiyahudi.
 
Na Iran haitoishia hapo, inaenda kufanya reverse engineering na kutengeneza model yake. Hivyo ndivyo ilivyofanikiwa kutengeneza missiles zake kwa kufanyia reverse engineering makombora iliyopewa na Libya wakati inastruggle kupigana na Saddam Hussein na ndivyo ilivyoweza kuboresha drones zake pale ilipofanikiwa kuhack drone ya Wamarekani, kuishusha na kuistudy
 
Ndege hizo hata kabla hazijafika Iran na marubani wao watauliwa na myahudi, tena kule kule Russia, najua huamini, ila muulize General wa Iran wa Jeshi aliyempokea Sulemani aliyeuawa na US kwa drone, kakimbia hajulikani alipo,..!!

Myahudi kaamua kuwafagia proxies wa Iran wote na sponsors wao Iran atakuwa kama Iraq, sbb dunia nzima na US Military wameamua kummaliza Iran ila wasitangaze, utaona kama jana ndege vita 100 za IDF zimepiga vibaya sana sites 120 za Hezbollah wanafagia fagia sana mabaki, baada ya hapo proxies wakiiisha wanaenda kwa Sponsor wao Iran, wanafagia kabisa

Utakuwa unaumwa ugonjwa wa akili hebu wahi pale mirembe hospital kwanza kabla hali haijawa mbaya zaidi
 
Na Iran haitoishia hapo, inaenda kufanya reverse engineering na kutengeneza model yake. Hivyo ndivyo ilivyofanikiwa kutengeneza missiles zake kwa kufanyia reverse engineering makombora iliyopewa na Libya wakati inastruggle kupigana na Saddam Hussein na ndivyo ilivyoweza kuboresha drones zake pale ilipofanikiwa kuhack drone ya Wamarekani, kuishusha na kuistudy
Hii tuchukue kesi study na sisi tupeleke wasomi wa jw sasa sisi tutajifunza lini
 
Israel ni rungu la Mungu kuponda uzao wa nyoka na majoka.

Watu hawaamini kuwa Mungu anapotaka kufanya jambo au kubadili ulimwengu anawatumia wana wa Israel bila kujali kuwa anawatumia kwa kuwaadhibu au kuadhibu maadui zao.

Wengine wanasema kuwa sio Taifa la Mungu kwa sababu kuna mashoga .

Basi hata dunia sio ya Mungu maana shetani yupo. Kila zama zinapata upinzani mkubwa sana toka kwa Mayahudi .
Mwisho kabisa watashinda kwa uwezo wa Mungu ili wamkumbuke Mungu na kuacha kufuata mambo ya Mataifa yaani makafiri waliowazunguka na wanaojifanya kuwa ni msaada kwao.
Mungu anataka kuudhihirisha ulimwengu kuwa nguvu za kijeshi pekee bila yeye hazifai kitu .
Mungu wa Israel ndiye Mungu Muumba wa vyote na shetani na Mataifa yake yote ikiwemo Irani kamwe hawatawaondosha wayahudi kwenye uso wa dunia mpaka Kiyama.
Sure lakani israel ni saa ya nyakati za ulimwengu, ukiona hizi vita ujue nyakati mpya zaja, na dunia itatifautisha kati ya Mungu wa Israel na miungu mingine, in very clear picture.
 
Wewe Malaya msege mimi nikozee?

Mimi na Mashoga wapi na wapi?

Unakuja JF kutafuta mabasha mimi sifirii wasenge.

Shoga mzee wewe mavuzi ya matakoni yamejqaa mvi.

Wewe unaweza kunitisha mimi JF?

Eti Israel hawamuogopi Iran😀😀

Jiandae, unajiona uko behind keyboard una kiburi na kejeli, nitakufunza adabu ujute kuzaliwa, ww nyoko utajutia, pumbaf mkubwa, i will screw you up, nitakupiga pumzi inakata ukijiona, utajutia nyoko ww, nakupiga hadi huoni lolote utajutia ww weka kiburi mbele
 
Ndege zenyewe zimeundwa na engineers na wanasayansi wa urusi wenye asili ya kiyahudi.

Kawadanganye mapunguani wenzako…
Kampuni ya JSC Sukhoi (Kirusi: ПАО «Компания „Сухой“», matamshi ya Kirusi: [sʊˈxoj]) ni mtengenezaji wa ndege wa Urusi (zamani Soviet), yenye makao yake makuu katika Wilaya ya Begovoy, Northern Administrative Okrug, Moscow, ambayo husanifu zote mbili za kiraia. na ndege za kijeshi. Ilianzishwa katika Umoja wa Kisovyeti na Pavel Sukhoi mnamo 1939 kama Ofisi ya Ubunifu wa Sukhoi (OKB-51, kiambishi awali cha ofisi ya Sukhoi). Wakati wa Februari 2006, serikali ya Urusi iliunganisha Sukhoi na Mikoyan, Ilyushin, Irkut, Tupolev, na Yakovlev kama kampuni mpya iliyoitwa United Aircraft Corporation.
 
Hizi taafia za ndege 100 kuipiga beirut mnazitoa wapi? Aljazeera wenyewe wanashinda wakitangaza habari za gaza na beirut mbana sijaiona hii habari?
Beirut inappigwa kweli lakini si kwa kiwanho mnachosema...punguzeni mahaba.

Jiandae, unajiona uko behind keyboard una kiburi na kejeli, nitakufunza adabu ujute kuzaliwa, ww nyoko utajutia, pumbaf mkubwa, i will screw you up, nitakupiga pumzi inakata ukijiona, utajutia nyoko ww, nakupiga hadi huoni lolote utajutia ww weka kiburi mbele
Hahaha ulivyoanza kunishambulia ulikuwa unadhani takaa kimya😀

Unamtisha Ritz😀😀😀😀 endelea kuchamba
 
Ungejua kwamba kwenye jeshi na Baraza la mawaziri wa Iran Kuna wayahudi waliopandikizwa usingeanza kushangilia.
Sio waliopandikizwa,ni kutokuelewa na kuendekeza udini kwa sisi waafrika,iran kuna population kubwa ya jewish na wanaishi fresh tu kama ilivyo waislam wanavyoishi israel,hizi vita udini ni huko afrika tu hawa jamaa vita zao wanajuana wenyewe nn chanzo
 
Sitoshangaa kusikia hizo Ndege zinatumiwa na Magaidi kusambaza Jihaad huko Yemen na kwengineko.
 
Iran haina S-400

Chanzo chako cha Twitter kina walakini

Marubani hawaendi peke yao hata ground crew wanatakiwa kupewa training kama uhitaji wa Iran ni wa haraka hivyo team ya watu 40 ni ndogo. Ila kutokana na production cycle ya Urusi sidhani kama wanaweza toa Su-35 hata 20 kwa mwaka. Labda waiuzie Iran zile ambazo Egypt iligoma kuzinunua na ziliishaanza kutengenezwa, ambazo Algeria ilikuwa inasemekana itazichukua.
 
Back
Top Bottom