Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Muisrael mweusi wa LWANJILO kachefukwa anachamba sasa😅
Israel has eliminated
A/ Iran President - Rais
B/ Hezbollaah Leader - Nasrallah & others
C/ Hamas almost all leaders gone
D/ Iran General Suleiman in Iraq
Inachofanya Israel is to finish all Iranian Proxies in Middle East, Hezbollah, Hamas, Houthi then next is Iran itself, ndio utakuja jutia hapa na kusema kumbe you have been on a wrong side of the world, Ayatollaah is not sleeping at home, yuko kwenye mahandaki sbb anajua myahudi mtu hatari sana. Iran kafanya nini chochote? Hakuna, kazi kushangilia missiles ambazo hazijaleta madhara yoyote.
Sasa wewe hopeless usie na chochote, huna akili, huna mali, huna kazi, huna pa kuishi pazuri, kazi kutegemea mabasha wakupe hela, unanuka uchafu na ufukara, ndio utaijua Israel, magaidi wote wataisha, wait and see