Chipukizi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 4,409
- 6,773
asitutishe tutaenda na mama wa kuwanyonyesha juu kwa juu our babies.Kichapo lazimaIran imeonya mataifa ya Ghuba kwamba hatua zozote dhidi yake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya anga au kambi zao za kijeshi na Israel, zitazingatiwa kama kitendo cha uhasama ambacho kitahitaji majibu sawia, kulingana na afisa mkuu wa Iran, kama ilivyoripotiwa na Reuters.