Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Amalizane na hizbullah ya wapi!?..labda amalizwe yeye
 
Iran imeshambulia Israeli, mara mbili, na shambulio kubwa zaidi la ndege isiyo na rubani katika historia na shambulio kubwa zaidi la kombora la balestiki katika historia! Israel haijajibu! Tel Aviv inajisalimisha kwa Tehran! Iran yashinda Vita!!
 
Ongeza volumeee Dj tune mkito tu mpaka matumbo yawacheze!
 


Ndege hizo hata kabla hazijafika Iran na marubani wao watauliwa na myahudi, tena kule kule Russia, najua huamini, ila muulize General wa Iran wa Jeshi aliyempokea Sulemani aliyeuawa na US kwa drone, kakimbia hajulikani alipo,..!!

Myahudi kaamua kuwafagia proxies wa Iran wote na sponsors wao Iran atakuwa kama Iraq, sbb dunia nzima na US Military wameamua kummaliza Iran ila wasitangaze, utaona kama jana ndege vita 100 za IDF zimepiga vibaya sana sites 120 za Hezbollah wanafagia fagia sana mabaki, baada ya hapo proxies wakiiisha wanaenda kwa Sponsor wao Iran, wanafagia kabisa
 
Muyahudi wa MAKWENJE hujui lolote kwa taarifa yako ndege za Iran zinaenda Lebanon na kutua na kurudi Iran. Mkiwa kwenye vigango vyema mnadaganyana sana, ukiona Iran anatagaza jambo lake ujue kaishamaliza wewe punguani.
 
Zimeshindwa kufanya kazi Ukraine? Miaka mitatu sasa!!!!
 
yeah. kuna wakati Wayahudi walikuwa uhamishoni huko Uajemi wakati wa mfalme Ahasuero kipindi cha Waamuzi, wakati Wayahudi kina Mordekai na Esta (malikia wa Uajemi) wakiwa huko walizaana sana. na kimsingi wanafanana-fanana sana maana Esta alikaa huko Uajemi (Irani) hadi anaolewa na mfalme bila kufahamika kuwa yeye ni Myahudi. ilikuja kufahamika baadaye wakati waziri mkuu aitwaye Hamani akitaka kuwaua Wayahudi ambapo aliishia kuuawa yeye kwa kutundikwa juu ya mti aliouandaa yeye mwenyewe. (Hamani muajemi)

soma KITABU cha ESTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…