Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Rais Putin amekubali kuuza Su-35 kwa Iran!

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Rais Putin amekubali kuiuzia Iran Su-35s! Marubani 40x wa Iran wanaelekea Urusi kuanza mazoezi ya ndege za kivita za hali ya juu!! Iran inazidi kuwa nchi yenye nguvu kikanda!!

kuhusu uuzaji wa ndege za kivita aina ya Su-35 kutoka Urusi hadi Iran, pamoja na mafunzo ya marubani wa Iran nchini Urusi, zinaonyesha uhusiano wa kijeshi unaozidi kuimarika kati ya mataifa hayo mawili.

View: https://x.com/captcoronado/status/1843273825686884486?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Vita na Myahudi si mchezo mchezo lazima utake kujua iwapo upo kamili kamili kukabiliana nao

Wayahudi wakimalizana na Hezbollah, watakuja kumalizana na Iran baba mzazi wa magaidi

Wayahudi wataicheza ngoma hiyo mfano wa kiama, kama hujawi ona sterling akiuwawa, mwangalie Iran,

Ila ni vema Mungu aamuru ugonvi kabla haujatokea

Hasira ya Myahudi dhidi ya baba mzazi wa magaidi haitakuwa poa
 
Aaah sawa. Nunueni nyingi ila kuliwa kuko pale pale
1000059763.jpg
 
Back
Top Bottom