Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Wasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] Dunia ilipofikia inahitaji new generation ,, Acha tu kiwakeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Putin ni former spymaster ni mjuvi wa masuala mengi yanohusu Russia.

Kwa hilo nampa alama za juu sana jamaa alipaswa kuzuiwa alipokuwa akipanda ngazi.
Yeah now it's to late [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123]
 
Maji wataita mma ,, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Ohhh oohhh Russia Hana kitu , ooohh Russia waoga tu haya Sasa mwanaume huyo ana kwenda kukiwasha, (Hawa pro Americans wa Jf wakisha vimbiwaga maharage huwaga wanawaza ujinga Sana na kuanza kuongea pumba)
 
Raha Sana [emoji16][emoji16]
 
Akili mtu wangu [emoji16]
 
US na Russia wote walewale. Wapigane wao na waiache Ukraine ijitawale.
Samaki mkubwa ana kula samaki mdogo, ni Kama jinsi ilivyo Simba kumla swala, nature ndio Umeamua dunia na viumbe vyake viwe hivyo, hiyo haina tofauti na namna tunavyoishi binaadamu, Binaadamu hata tuhubiri Amani kwa kiasi gani lakini amani haiwezi kuwa sehemu zote, kwa sababu binaadamu ni kiumbe chenye tamaa ya Mali na madaraka, Nature ya Ulimwengu inamtambua mwenye nguvu kuwa ndiye mshindi/mtawala na ndiye atakaye survive nature haina time na viumbe dhaifu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Enheeee Russia endeleeni kutoa kichapo huko
 
kitu kinachochekesha ni sie wa Africa kushabikia na kusifia upuuzi ooh sijui Mwanaume kasogeza kete dume, ohh wapigabe sasa, sijui nani akiwashe wapewe kichapo, wakati inajulikana fika hata likitokea la kutokea ukiacha wananchi wa nchi hizo husika kutaabika na hiyo vita, next itakua ni sisi wa Africa hata kama vita hiyo haitapiganiwa huku Africa...


hekima na busara ndio inatakiwa kutumika zaidi ya ubabe wa hizi 2 super powers ambazo zinaonyesha fika greedy ya next level..

amazing thing ni kuwa nchi kama China iko kimyaaa kwenye haya wakati yeye ni amongst majirani wakaribu kabisaaa
 
Vita ya 3 itaanza siku China akiichukua Taiwan kwa nguvu
[emoji2][emoji2][emoji2] sasa hv sio RUSSIA kuivamia UKRAINE tena[emoji13][emoji13]
hata hilo nalo pia nisuala lamuda tu kama tulivyokua tukiwaeleza kuhusu UKRAINE mkawa mnakaza shingo
 
Wamejaa unafiki Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…