Hapana, hayo majimbo yanashikiliwa na warusi (raia wa Russia ambao ni waasi na wataka kujitenga)Sass sijapata koneksheni kama russia inayaachia maana yake inapiga magoti kwa USA
Yeye mwenyewe mwizi tu.Putin asema Ukraine walikuwa wakifanya wizi kawenye mabomba ya mafuta kwa mwaka mmoja mzima.
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
SUPER POWER ni USA hao wengine wamewekwa katika kubalance tu, ndio maana maana kuna hadi G20.Atataka vipi nafasi ikiwa yeye ni mmoja wa super powers - USA, UK, France, China, Germany, Russia na Japan.
Ok mkuu weye endelea kuamini hivyo.SUPER POWER ni USA hao wengine wamewekwa katika kubalance tu, ndio maana maana kuna hadi G20.
Maji yanatoka, koga ukalaleWasituletee vita ya 3 ya dunia kwa sababu ya upumbavu wao. Maana vita ya 3 kwa technolojia iliyopo wote tutakwisha including wao. Washenzi hawa wananibore sana.