Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Sass sijapata koneksheni kama russia inayaachia maana yake inapiga magoti kwa USA
Hapana, hayo majimbo yanashikiliwa na warusi (raia wa Russia ambao ni waasi na wataka kujitenga)

Russia imekuwa ikiwasaidia waasi hao na sasa yataka kuwatambua rasmi.

Ndo maana baada ya leo usishangae kusikia Russia imeingiza majeshi Ukraine (upande huo wa mashariki) na kulinda
 
SUPER POWER ni USA hao wengine wamewekwa katika kubalance tu, ndio maana maana kuna hadi G20.
Ok mkuu weye endelea kuamini hivyo.

Ila Russia muziki wake USA hauwezi.

Alifanya hivyo, Syria na sasa ni Ukraine.

USA atakaa akiangalia tu.

There were supposed to watch (closely) the rise of Vladmir Putin.
 
Screenshot_20220221-220904.png
 
Back
Top Bottom