Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mbona rais wa Ukraine anapingana na Russia tumia akili ethnic Ukraine wangeshaandamana kuwa upande wa russia, kuwa upande wa russia hakuna faida yeyote tofauti na kuwa upande wa EuropeWewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,ungetulia tu.Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anasema Ukraine ilijengwa na Urusi na inabaki kwenye historia ya Urusi. Jamani kati ya walinzi wa Putin hakuna Yuda walau ampige risasi moja ya kisogo ?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]humjui vzr ww, nyamaza tuNasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Kwaiyo ulitegemea rais wa Ukraine amsapoti ama, kwani yy haupendi urais unadhani?Mbona rais wa Ukraine anapingana na Russia tumia akili ethnic Ukraine wangeshaandamana kuwa upande wa russia
Asante kwa kumsaidiaHii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa,ungetulia tu.
Wananchi wanamsupport rais wao kama hawamtaki wangeandamana kama walivyofanya kwa Viktor YanukovychKwaiyo ulitegemea rais wa Ukraine amsapoti ama, kwani yy haupendi urais unadhani?
Hakuna vita ya 3 ndugu hapo, hata Georgia bush na wenzake walipiga sana taarabu ila mwisho wa siku wakaja kushangaa Warusi washaingia Georgia , wanaelekea kuchukua mji mkuu.Kuna dalili ya vita ya tatu ya dunia hapa.
Vita inaanzaga kwa maneno tu, baadaye silaha nzito zinachukua nafasi.
Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draftRaisi wa Russia Vladmir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo huru ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru.
Majimbo haya mawili yaliyo upande wa mashariki mwa Russia, ndio kiini cha mzozo unoendelea unaozihusu nchi za Ukraine, NATO, Russia, Marekani na nchi za magharibi.
Pia raisi Putin atasaini amri (decree) ya kutambua eneo zima lijulikanalo kama Donbass kama eneo la Russia.
Baada ya kutangaza uamuzi huo wa Russia, kiongozi huyo wa Russia ataamuru majeshi ya Russia kuingia katika majimbo hayo ili kulinda maslahi ya Russia kiusalama na kijeshi.
Raisi wa Ufaransa Emmanule Macron ameitisha kikaao cha dharura cha umoja wa mataifa ambapo suala la uamuzi wa Russia kutambua majimbo ya Donetski na Luhansk litajadiliwa.
Wakati huohuo Russia imeitisha kikao cha dharura umoja wa mataifa kujadili suala la Ukraine baada ya mkuu wa majeshi ya Russia kusema kwamba Ukraine imeweka majeshi yapatayo 60,000 katika eneo la Donbass.
Putin anadai kwamba kiongozi wa ilokuwa USSR Lenin alifanya maamuzi ya kimakosa katika kuangalia mipaka ya USSR na ndio kiini cha matatizo ya leo hii.
Huo mkataba uliosainiwa ili "NATO isijitanue" uko wapi?tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Sema haujaamua kusumbua akili yako mkuu tuHuo mkataba uliosainiwa ili "NATO isijitanue" uko wapi?
Mbona hauwekwi hadharani dunia ikapata kuuona?
Hii hoja kwamba "NATO walikubaliana na Urusi" imeshamiri sana humu hasa kipindi hiki. Ingependeza sana kama hoja hiyo ingeambatanishwa na uthibitisho wa mkataba huo!
Putin katafuta sababu mkuu, kaingiza majeshi kulinda raia sasa qnasubiri kiherehere yyt aguse kifaa chake chochote ana askari wake, ukraine inakwenda na maji kama Yugoslavia[emoji28]Akili za putin anazijua mwenyewe.. [emoji23], hapa Ukraine lazima atulize akili akifanya mzaha nchi yake itabaki magofu, wahuni watajaribia zana zao kwao, toka awali nilisema, russia ataingia donbass kwa kivezo cha kulinda watu wake, hivyo hata kama ni marekani kupigana nae hawatopiga kule urusi ila vita itapiganwa hapo hapo kwa ukraine,watu wapimane ubavu, na wakilegea hii donbass ikaenda basi wajue huku mbele mpaka kiev itasombwa.
Kafanyaje sasamSilipendagi hili senge.
Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]humjui vzr ww, nyamaza tu
Hapo unaongea ukiwa umeshikwa kiuno na mjegeje upo ndani sentimeta kumi.Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.