Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

The White House: We will announce additional sanctions on Russia tomorrow

CNN
From an American official: We expect that the Russian forces will move tonight or tomorrow to Donbass within the framework of the so-called peacekeeping mission
 
Russia is an organised and military strong country, it isn’t a terrorist group which depends on smuggled weapons to fight.

Both NATO and the US will eventually learn this truth the hard way.

And of course, they only have one big weapon which Russia is ready to face with pride, economic sanctions.

Men at work! Bring it on says the no nonsense Russian strongman Vladimir Putin.
Vikwazo kwa nchi kubwa kama Russia vinaumiza pande zote.ukiwawekea vikwazo ni lazima na wewe update madhara.
Sio Zimbabwe Ile.
 
Sasa hayo majimbo inamaana yamemeguka toka russia au
Hujaelewa Nini Happ Ndugu yangu?! Russia imeamua na lolote liwe...imeyatambua majjmbo hayo mawili ya Ukraine kuwa ni nchi huru na yatataka msaada wa kijeshi kutoka Russia...Ina maana Russia Sasa itapeleka rasmi majeshi yake huko mashariki mwa Ukraine na kuwafurusha Askari wa Ukraine walioko huko..Ina maana ni Vita.
 
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.

Wanamchekea huyu jamaa akijiunga vizuri na wachina wakipata nafasi ya kuwa na amri yakufanya chochote kila mahali dunia ita hangaika sana.
 
Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Rais wa Urusi sio mchezo my friend...security details zake ni balaa kubwa....Lakini Hata Wewe Mchepuko wa mumeo ukija kukaa jirani na kwako utqkubali?? Kwann muone ni sawa Nato kuichukua Ukraine isogee pale boarder ianze kuchunguza kila kitu wakiamua wanapiga Moscow...sisi Team Russia tunamwambia Mwamba Putin tandika hawa Watu....tuheshimiane
 
Lenin ndie alieiunda Ukraine na maamuzi ambayo hayakuwa sahihi, hiyo ndio hoja ya Putin.

Ni hoja ilobeba ujumbe wa kijasusi na historia.
Na huu ndio ukweli hata historia inasema hivyo miaka yote ya Othman empire lilikuwa eneo la Russia na wao ndio waliwapiga Othman empire walikuwa kuwapa Ukraine katika miaka 1954 hivi wakati wote no USSR hali ya kisiasa tu wakati ule ni wamoja ila naona Ukraine wamejisahau kuwa eneo walipewa tu. Jana kaongea neno moja Putin na akasema sijawahi kuongea public lakini ngoja niseme kidogo japo bila maelezo mengi, kasema alipokuja Clinton wakati huo alimwambia kwa kuwa NATO mnajitanua tu japo ahadi ilikuwa kutofanya hivyo basi unaonaje Russia wakitaka kujiunga NATO? Nasikia Clinton aliruka meter alfu moja swali la mtego maana kama mnataka amani wangesema njoo jiunge ila walikaa kimya sababu Russia anajuwa NATO nia yao ni mbaya kwa Russia tu sio amani kama wanavyosema maana kama kweli amani kwa wote angefurahi Russia kujiunga na NATO. NATO ni USA hawa wengine wapambe tu ni njia ya USA kujiweka kihalali karibu na Russia sio vinginevyo na Russia anacheza sama game kutambua majimbi mawili amabyo ki history ni yake ili na wao kupata sababu ya kuwemo pale nadhani huyu jamaa anajuwa anataka kufanya nini jamaa kichwa...
 
Huo mkataba uliosainiwa ili "NATO isijitanue" uko wapi?

Mbona hauwekwi hadharani dunia ikapata kuuona?

Hii hoja kwamba "NATO walikubaliana na Urusi" imeshamiri sana humu hasa kipindi hiki. Ingependeza sana kama hoja hiyo ingeambatanishwa na uthibitisho wa mkataba huo!
Wewe kweli kiboko unataka Putin aweke huku JF? kweli hukosema warsaw pact? Jana Putin kaongelea hilo walipewa ahadi kibao hilo halitatokea lakini wakati fulani Russia walikuwa dhaifu sana NATO wakaenda kuchukuwa Poland, Bulgaria sijui Romania jamaa wakawaambia mbona tena mnavunja wakasema sisi hatuna nia mbaya na Russia ndio Putin akamwambia na sisi tukitaka kujiunga na NATO unasemaje? Clinton kimyaa. NATO ni sababu tu ya kuhalalisha majeshi ya USA kuwa europe hakuna lingine zaidi ya hilo. Kuhusu Ukraine wamemwambia kujiunga sio hata kesho usiwe na wasiwasi kawajibu na kesho baada ya kesho yake....
 
Yaani nyinyi sindio mnawasifu Israhell wanapowauwa Palestina na kunyakua ardhi zao?? Nyinyi sindio mlifurahi Trump alipowahalalishia Israhell milima ya golan ya Syria?? Nyinyi si ndio mnafurahi kuona nato inauwa watu Libya na Afghani, leo roho zinawauma?? Acheni unafiq
umeongea point MKUU waache unafiq ila waendelee tu kuumia UKRAINE itagawiwa vipnande vipande kama zilivyofanywa SOMALIA LIBYA IRAQ nk
wakitaka waende wakaivamie RUSSIA
 
Back
Top Bottom