Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

Mkuu, ebu liweke hili neno sawa. Ama lete dodoso ili tupate kuyajua yalojiri kwa marehem Ruge Mutahaba
yeah branch manager wa dsm company ndio alimfanyia unyama huo Jasiri muongoza njia.kwenye ka party kamoja huko tng company siku the late ceo alipokuwa anazindua mfumo wa biogas kwenda kutoka hapa kwenda kwa the late El fitr Believe Sister.haukumbuki hiyo siku the late ceo alimuita jasiri waka shake hand na former branch manager.siku zake zikaanza kuhesabiwa siku hiyo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Kuna wapumbavu hua wanaamini kwamba kanisa katoliki lina nguvu na ushawishi mkubwa Duniani. Putin amawaonyesha wazi kua wao si lolote si chochote.

Hata rais wa Ufilipino alishasema 90% ya mapadri na maaskofu katoliki ni mashoga na hakuna kitu wamemfanya hadi sasa.
Duh Umetoka nje Ya Mada .... Mada hapa Putin Kukataa Ujumbe Wa Papa,

Wewe Unawasema Mashoga...Hawa So called Mashoga ni Tatizo La Dunia ...!
Islam mashoga wapo..!
Walokole Mashoga Wapo.!
Anglikan Mashoga Wapo..!
Katoliki Mashoga Wapo..!
Sabato Mashoga Wapo..!
Walutheri Mashoga Wapo..!
Tanzania Mashoga Wapo..!
Afrika Wapo ..Ulaya ndo Usiseme..Dunia yote Wapo..!

Acha Kukomaza Shingo kwa Dhambi Ya Individual uka generalise Taasisi. Kama Wewe Unaye Mchungaji au Shekhe Mwenye Ushawishi Kama Wa Pope Mpeleke....akaonane na Putin.
 
Objective comment
 
Ni sawa na Umtume Askofu kwa waislam....
Sio mtu muhimu kwao hawajali kuhusu yeye.
Au umlete Mufti kwangu, ntamuona kama wazee wengine tu.
Russians wengi ni Orthodox.....asa katoliki wapi na wapi. Japo sijui Putin dini gani.
Hujui chochote kuhusu othodox na katoliki chief. Kwa kukusaidia tu kiril wa Orthodox anaweza kusoma misa kanisa katoliki padre wao haya makanisa ni moja sema catholic ni west na orthodox ni mashariki na kilichowatenganisha ni kutofautiana kuhusu vipaumbele vipelekwe wapi vya kimaendeleo sio namna ya ibada. Ndio maana hata Rome wapo
 
Una uhakika na Unayo yasema?
Wa orthodox wanajali kuhusu Pope?
Msingi wa hoja yangu upo hapa.
Ni nani kwao?
 
Putin hana ubavu wa kumchomolea Papa yule ndiye mfalme wa dunia kupitia shirika lake la jesuits, Na kama Putin kafanya hivyo mwisho wake umewadia, Akaulize wakina JFK na Abraham Lincoln nini kiliwapata baada ya kutofautiana na amri ya Papa.
 
Kaburi la Nabii Adam lipo Iraq,,,,Papa akataka kwenda huko,,,,Sadam hakutaka,,,,,,kilichomkuta Sadam tumekiona!
 
Ni sawa na Umtume Askofu kwa waislam....
Sio mtu muhimu kwao hawajali kuhusu yeye.
Au umlete Mufti kwangu, ntamuona kama wazee wengine tu.
Russians wengi ni Orthodox.....asa katoliki wapi na wapi. Japo sijui Putin dini gani.
Ni mu orthodox huyo
 
Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki.

Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini siku nyingi zimepita hawajapata jibu lolote, ni kama vile Putin don't give a damn about anyone except the so called military operations in Ukraine.

Papa anasema amejitolea kukutana na Putin wazungumze lakini Putin hajatoa majibu na jibu la moja kwa moja ni kwamba Putin hataki na hakuna cha kumfanya.

Putin, usisikilize wanafiki, kanyaga twende.
Putin ana Papa wake wa Russian Orthodox Church.

Hamuhitaji huyu Papa wa Catholic Church.

Hapo ndipo utajua dini ni siasa ya kale iliyovishwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
 
Duh Umetoka nje Ya Mada .... Mada hapa Putin Kukataa Ujumbe Wa Papa,

Wewe Unawasema Mashoga...Hawa So called Mashoga ni Tatizo La Dunia ...!
Islam mashoga wapo..!
Walokole Mashoga Wapo.!
Anglikan Mashoga Wapo..!
Katoliki Mashoga Wapo..!
Sabato Mashoga Wapo..!
Walutheri Mashoga Wapo..!
Tanzania Mashoga Wapo..!
Afrika Wapo ..Ulaya ndo Usiseme..Dunia yote Wapo..!

Acha Kukomaza Shingo kwa Dhambi Ya Individual uka generalise Taasisi. Kama Wewe Unaye Mchungaji au Shekhe Mwenye Ushawishi Kama Wa Pope Mpeleke....akaonane na Putin.
We're ndio yule ulileta ule Uzi wa ushoga na watoto kweli wakikuona Happ mashoga watafarijika kuwa jf kuna semaji lao na mtetez wao
 
Hujui chochote kuhusu othodox na katoliki chief. Kwa kukusaidia tu kiril wa Orthodox anaweza kusoma misa kanisa katoliki padre wao haya makanisa ni moja sema catholic ni west na orthodox ni mashariki na kilichowatenganisha ni kutofautiana kuhusu vipaumbele vipelekwe wapi vya kimaendeleo sio namna ya ibada. Ndio maana hata Rome wapo
Sehemu moja wapo wanapotofautiana ni kwamba wa orthodox wanapinga mamlaka ya papa wa roman, na wa orthodox wengi wanawaona kanisa la roma kama matapeli tu na huyo papa wao,, wanawaita heretics
 
Back
Top Bottom