Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
[emoji846][emoji846]Badala akaongee na Biden ndo mchochezi wa hii vita, yeye anaenda kwa Putin
Hata ningekuwa mim ningekataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji846][emoji846]Badala akaongee na Biden ndo mchochezi wa hii vita, yeye anaenda kwa Putin
Hata ningekuwa mim ningekataa
yeah branch manager wa dsm company ndio alimfanyia unyama huo Jasiri muongoza njia.kwenye ka party kamoja huko tng company siku the late ceo alipokuwa anazindua mfumo wa biogas kwenda kutoka hapa kwenda kwa the late El fitr Believe Sister.haukumbuki hiyo siku the late ceo alimuita jasiri waka shake hand na former branch manager.siku zake zikaanza kuhesabiwa siku hiyo [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mkuu, ebu liweke hili neno sawa. Ama lete dodoso ili tupate kuyajua yalojiri kwa marehem Ruge Mutahaba
dah kweliUkiona mbinu unaijua hadi wewe uliyeko huku Bongo jua hawawezi kutumia hiyo.
Ruge apewe sumu alikuwa na nn cha ziada hadi wamfanyie hvyo mkuu?Putin wanatafta mbinu za kummaliza ama Kwa kugusana ili AFE Kwa ile sumu ilomuua Ruge Mutahaba
Duh Umetoka nje Ya Mada .... Mada hapa Putin Kukataa Ujumbe Wa Papa,Kuna wapumbavu hua wanaamini kwamba kanisa katoliki lina nguvu na ushawishi mkubwa Duniani. Putin amawaonyesha wazi kua wao si lolote si chochote.
Hata rais wa Ufilipino alishasema 90% ya mapadri na maaskofu katoliki ni mashoga na hakuna kitu wamemfanya hadi sasa.
Objective commentDuh Umetoka nje Ya Mada .... Mada hapa Putin Kukataa Ujumbe Wa Papa,
Wewe Unawasema Mashoga...Hawa So called Mashoga ni Tatizo La Dunia ...!
Islam mashoga wapo..!
Walokole Mashoga Wapo.!
Anglikan Mashoga Wapo..!
Katoliki Mashoga Wapo..!
Sabato Mashoga Wapo..!
Walutheri Mashoga Wapo..!
Tanzania Mashoga Wapo..!
Afrika Wapo ..Ulaya ndo Usiseme..Dunia yote Wapo..!
Acha Kukomaza Shingo kwa Dhambi Ya Individual uka generalise Taasisi. Kama Wewe Unaye Mchungaji au Shekhe Mwenye Ushawishi Kama Wa Pope Mpeleke....akaonane na Putin.
Hujui chochote kuhusu othodox na katoliki chief. Kwa kukusaidia tu kiril wa Orthodox anaweza kusoma misa kanisa katoliki padre wao haya makanisa ni moja sema catholic ni west na orthodox ni mashariki na kilichowatenganisha ni kutofautiana kuhusu vipaumbele vipelekwe wapi vya kimaendeleo sio namna ya ibada. Ndio maana hata Rome wapoNi sawa na Umtume Askofu kwa waislam....
Sio mtu muhimu kwao hawajali kuhusu yeye.
Au umlete Mufti kwangu, ntamuona kama wazee wengine tu.
Russians wengi ni Orthodox.....asa katoliki wapi na wapi. Japo sijui Putin dini gani.
Nini?????We Ruge ni UKIMWI msisingizie sumu! Dah ila naionea huruma Mbunye ya Mirs Bill nass
Una uhakika na Unayo yasema?Hujui chochote kuhusu othodox na katoliki chief. Kwa kukusaidia tu kiril wa Orthodox anaweza kusoma misa kanisa katoliki padre wao haya makanisa ni moja sema catholic ni west na orthodox ni mashariki na kilichowatenganisha ni kutofautiana kuhusu vipaumbele vipelekwe wapi vya kimaendeleo sio namna ya ibada. Ndio maana hata Rome wapo
Kaburi la Nabii Adam lipo Iraq,,,,Papa akataka kwenda huko,,,,Sadam hakutaka,,,,,,kilichomkuta Sadam tumekiona!Putin hana ubavu wa kumchomolea Papa yule ndiye mfalme wa dunia kupitia shirika lake la jesuits, Na kama Putin kafanya hivyo mwisho wake umewadia, Akaulize wakina JFK na Abraham Lincoln nini kiliwapata baada ya kutofautiana na amri ya Papa.
Papa ni habari nyingi anatembea huku anapesuka lakini ni hatari sana.Kaburi la Nabii Adam lipo Iraq,,,,Papa akataka kwenda huko,,,,Sadam hakutaka,,,,,,kilichomkuta Sadam tumekiona!
Ni mu orthodox huyoNi sawa na Umtume Askofu kwa waislam....
Sio mtu muhimu kwao hawajali kuhusu yeye.
Au umlete Mufti kwangu, ntamuona kama wazee wengine tu.
Russians wengi ni Orthodox.....asa katoliki wapi na wapi. Japo sijui Putin dini gani.
Putin ana Papa wake wa Russian Orthodox Church.Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki.
Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini siku nyingi zimepita hawajapata jibu lolote, ni kama vile Putin don't give a damn about anyone except the so called military operations in Ukraine.
Papa anasema amejitolea kukutana na Putin wazungumze lakini Putin hajatoa majibu na jibu la moja kwa moja ni kwamba Putin hataki na hakuna cha kumfanya.
Putin, usisikilize wanafiki, kanyaga twende.
![]()
Pope wants to visit Moscow to meet Putin over Ukraine - paper
Pope Francis said in an interview published on Tuesday that he asked for a meeting in Moscow with Russian President Vladimir Putin to try to stop the war in Ukraine but had not received a reply.www.reuters.com
We're ndio yule ulileta ule Uzi wa ushoga na watoto kweli wakikuona Happ mashoga watafarijika kuwa jf kuna semaji lao na mtetez waoDuh Umetoka nje Ya Mada .... Mada hapa Putin Kukataa Ujumbe Wa Papa,
Wewe Unawasema Mashoga...Hawa So called Mashoga ni Tatizo La Dunia ...!
Islam mashoga wapo..!
Walokole Mashoga Wapo.!
Anglikan Mashoga Wapo..!
Katoliki Mashoga Wapo..!
Sabato Mashoga Wapo..!
Walutheri Mashoga Wapo..!
Tanzania Mashoga Wapo..!
Afrika Wapo ..Ulaya ndo Usiseme..Dunia yote Wapo..!
Acha Kukomaza Shingo kwa Dhambi Ya Individual uka generalise Taasisi. Kama Wewe Unaye Mchungaji au Shekhe Mwenye Ushawishi Kama Wa Pope Mpeleke....akaonane na Putin.
Sehemu moja wapo wanapotofautiana ni kwamba wa orthodox wanapinga mamlaka ya papa wa roman, na wa orthodox wengi wanawaona kanisa la roma kama matapeli tu na huyo papa wao,, wanawaita hereticsHujui chochote kuhusu othodox na katoliki chief. Kwa kukusaidia tu kiril wa Orthodox anaweza kusoma misa kanisa katoliki padre wao haya makanisa ni moja sema catholic ni west na orthodox ni mashariki na kilichowatenganisha ni kutofautiana kuhusu vipaumbele vipelekwe wapi vya kimaendeleo sio namna ya ibada. Ndio maana hata Rome wapo