Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Hii ndio Nchi ambayo Rais ni kama bendera Sasa hana anachiweza kufanya.

Ona anavyoongea Kwa masikotiko πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/EJ_Mwita/status/1805891440452489546?t=md6l5UxOW7Yauscax7OhfA&s=19
 
Nyani katema bungo
 
Huko Kenya Rais Ruto amekubaliana na madai wa Wakenya walio wengi ya kuachana na muswaada mbovu wa fedha, zaidi sana amekubaliana na kuachana na matumizi yasiyo ya lazima na anasa kwa kupunguza bejeti ya kukirimu maofisini, magari, fenicha, safari za nje n.k kwa kuanzaia na Ofisi ya Rais yeneywe. Ameelekeza bajeti iwe ni ya kubana matumizi.
 
Jana anatishia watu nyau..angesain tu leo jeshi lingeingia ikulu....
Alitishia kutumia jeshi halafu jeshi halimtii

Toka Mkuu wao wa majeshi afe Kwa ajali ya helicopter

Morali na utii Kwa Raisi Ruto uko chini sana sijui Kwa nini

Ukiwaona wanavyowakabili waandamanaji ni kama hawataki na wanajeshi wakikataa Raisi Hana uwezo wa kuwafanya chochote Hana huo ubavu
 
Yale Yale Kama CCM. Wana creat tatizo halafu wanali solve.
Angalia kikokotoo Ni tatizo lilikua created na CCM, halafu juzi wamepunguza kiwango Cha tatizo. Mazwazwa wanapiga makofi .
 
Mind games, why bunge liliupitisha katikati ya machafuko?!

Ruto anawatega wakenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…