Rais Ruto awasimamisha kazi Makamishna 4 waliopinga matokeo ya Urais

Wewe na nani mnahitaji katiba mpya; mlikutana wapi? kwa maelekezo ya nani?
 
Bila watu waadilifu Katiba mpya Ni karatasi Kama mengine
 
Mkuu ebu ongeza mwanga- toka lini?
HAkupashwa kufanya hivyo kwa vile walijitoa ku support krsi yake. All in all,hiyo ni dosari moja, siyo lundo kama la hapa kwetu takataka! You can not compare with the gross violations in the past six years under Jiwe and to some extent in the current regime!
 
Unataka kupendekeza kwamba kuna dhambi ndogo?
 
Hana mamlaka hayo.
Isipokuwa watu kama wewe unarukia tu jambo usiloelewa utaratibu wake ukoje hadi kufikia hatua hiyo ya rais.
 
Si huwa mnasema Kenya Kuna Katiba mpya na Rais hawezi ingilia tume ya uchaguzi Sasa imekuaje?
Hawezi kuwafukuza kazi, yeye amewasimamisha ili uchunguzi ufanyike kisha mahakama iamue, hao si wateule wa rais kwani waliomba kazi wakafanya intaviu na kuajiliwa hivyo hawawezi kifukuzwa kazi na mtu mmoja, tatizo lako ni kupenda sana dhuluma.
 
Hana mamlaka hayo.
Isipokuwa watu kama wewe unarukia tu jambo usiloelewa utaratibu wake ukoje hadi kufikia hatua hiyo ya rais.
Kawasimamisha sasa halafu unasema hana mamlaka hayo
 
Hawezi kuwafukuza kazi, yeye amewasimamisha ili uchunguzi ufanyike kisha mahakama iamue, hao si wateule wa rais kwani waliomba kazi wakafanya intaviu na kuajiliwa hivyo hawawezi kifukuzwa kazi na mtu mmoja, tatizo lako ni kupenda sana dhuluma.
Kwani nimesemaje hapo- kawasimamisha halafu wewe unaleta habari za kawafukuza mbona uko hatua moja mbele- Take my word- watafukuzwa
 
Kawasimamisha sasa halafu unasema hana mamlaka hayo
Huelewi kitu. Hilo jambo limetokea wap kabla ya kufika hapo kwa Ruto, unajua?

Kwa mtu kama wewe huwezi kuelewa taratibu zilizowekwa kufuatwa, unaona tu kilichotokea mwisho.
 
Huelewi kitu. Hilo jambo limetokea wap kabla ya kufika hapo kwa Ruto, unajua?

Kwa mtu kama wewe huwezi kuelewa taratibu zilizowekwa kufuatwa, unaona tu kilichotokea mwisho.
Limepelekwa kwake kwa maana ana mamlaka nalo na kachukuwa hatua ndani ya mamlaka yake- KAWASIMAMISHA KAZI- and that is not a mere opinion- it is a fact
 
Limepelekwa kwake kwa maana ana mamlaka nalo na kachukuwa hatua ndani ya mamlaka yake- KAWASIMAMISHA KAZI- and that is not a mere opinion- it is a fact
Ni 'process' imetumika.
Haukuwa uamzi wake wa moja kwa moja.

Ni sawa na uteuzi, haamki tu na kuteua mtu, kuna process inafanyika.

Kama wewe huelewi hilo, na kulinganisha na haya uliyozoea hapa, utakuwa hujui kitu.
 
Hii IEBC si inaitwa tume huru, haiwezi kuingiliwa na mtu awaye yote!?
Kama rais anawafukuza makamishna, Sasa uhuru wa tume uko wapi!?
 
Ni 'process' imetumika.
Haukuwa uamzi wake wa moja kwa moja.

Ni sawa na uteuzi, haamki tu na kuteua mtu, kuna process inafanyika.

Kama wewe huelewi hilo, na kulinganisha na haya uliyozoea hapa, utakuwa hujui kitu.
Sijui umeelewa ulichoandika maana yote yanabomoa hoja zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…