Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Watayatuliza tu hayo
 
Nimekumbuka baada ya uchaguzi 2015, Ukawa walitaka kuitisha maandamano. Marehemu akasema sawa, akawapa wanajeshi sare za Polisi na alikuwa serious na hilo alidhamiria hasa kuwaonesha yeye ni nani. Nadhani wenye busara waliwashauri viongozi ukawa wakasitisha maandamano
 
Maandamano yanaruhusiwa Kwa lengo la kumpindua Rais??.hao wanatofauti gani na Waasi ?.

Hata kama ni waasi maadamu ni Wakenya Jeshi halina business ya kuingilia, haijalishi nini kitatokea, hiyo ndiyo Katiba, uliona Egypt Mubarak alivyoondolewa? Jeshi lilikaa pembeni Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kugusa raia, ni Tanzania tu Wanajeshi hupiga na kutesa raia wanaopaswa kuwalinda,…
 
Hata kama ni waasi maadamu ni Wakenya Jeshi halina business ya kuingilia, haijalishi nini kitatokea, hiyo ndiyo Katiba, uliona Egypt Mubarak alivyoondolewa? Jeshi lilikaa pembeni Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kugusa raia, ni Tanzania tu Wanajeshi huoiga na kutesa raia wanaopaswa kuwalinda,…
Mubarak aliondoshwa kwakua waasi wale walifadhiliwa Silaha, Pesa , nawakati huo huo Jeshi la police lilikua tayari limeshaingiliwa.
 
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Ndoto za Alinacha
 
Mubarak aliondoshwa kwakua waasi wale walifadhiliwa Silaha, Pesa , nawakati huo huo Jeshi la police lilikua tayari limeshaingiliwa.

Siyo kweli, Jeshi lilikaa pembeni, ni crime against humanity Jeshi kuattack raia ambao liko kuwalinda, Katiba ya Kenya iko clear.

Mfano Kenya kuna fujo huko north Wafugaji kama Wamasai wanashambulia Polisi na kuwauwa kwa mishale, Polisi waliuliwa kama
Wanyama lkn Serikali ya Kenya haikutuma Jeshi lake ingawaje Polisi walizidiwa unajua ni kwa nini?

Jibu ni kwamba Katiba ya Kenya hairuhusu Jeshi kuwa deployed against raia ni kazi ya Polisi, siyo kama Tanzania Jeshi linatumika dhidi ya boda boda, hilo ni Tanzania tu.
 
Nimekumbuka baada ya uchaguzi 2015, Ukawa walitaka kuitisha maandamano. Marehemu akasema sawa, akawa wanajeshi sare za Polisi na alikuwa serious na hilo alidhamiria hasa kuwaonesha yeye ni nani. Nadhani wenye busara waliwashauri viongozi ukawa wakasitisha
Kuanzia hapo wakamchukia hadi leo hii
 
Back
Top Bottom