Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Aliyekudanganya ni nani.....Hawa ni wanajeshi zaidi ya 2000 wakiwa na silaha kuzunguka maeneo mbalimbali ya Bunge la marekani sasa jichanganye kujifanya kiherehere uone cha moto....
Kumbuka watu walipenya mpaka bungeni wakafanya yao