Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Naaaa, atakayekimbia ni Raila. Unajua alikimbilia huku 1983 Nyerere kampa passport yetu akitumia jina la dholuo kama ya Washashi wa Rorya, kaenda kusoma East Germany? Mhe arap Ruto hana shida, Md Koome atamlinda.
 
Hapa Tz tunaimba tu kale kawimbo "tuilinde amani yetu" ila maji yakifika shingoni hakuna atakaezuia.
 
Nimekumbuka baada ya uchaguzi 2015, Ukawa walitaka kuitisha maandamano. Marehemu akasema sawa, akawa wanajeshi sare za Polisi na alikuwa serious na hilo alidhamiria hasa kuwaonesha yeye ni nani. Nadhani wenye busara waliwashauri viongozi ukawa wakasitisha
Marehemu, ubabe hausaidii chochote!
 
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …

wewe huna akili Ruto wa kukimbia au raila ndio akimbie, ruto na makufuli mwendo wao hauna tofauti
 
Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Kwahiyo hao Raia hata wakifanya ujinga Jeshi hawaruhusiwi kuwapiga? Juzi tu hapa RUTO alitoa amri jeshi likapambane na wezi wa Mfugo au unajitoa ufahamu?
 
Siyo kweli, Jeshi lilikaa pembeni, ni crime against humanity Jeshi kuattack raia ambao liko kuwalinda, Katiba ya Kenya iko clear.

Mfano Kenya kuna fujo huko north Wafugaji kama Wamasai wanashambulia Polisi na kuwauwa kwa mishale, Polisi waliuliwa kama
Wanyama lkn Serikali ya Kenya haikutuma Jeshi la ingawaje Polisi walizidiwa unajua ni kwa nini?

Jibu ni kwamba Katiba ya Kenya hairuhusu Jeshi kuwa deployed against raia ni kazi ya Polisi, siyo kama Tanzania Jeshi linatumika dhidi ya boda boda, hilo ni Tanzania tu.
Acha uongo Boya wewe.
 
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Acha kuahabikia usoyajua au machafuko,we don't need violence in our neighboring countries 🙅
 
Kwahiyo hao Raia hata wakifanya ujinga Jeshi hawaruhusiwi kuwapiga? Juzi tu hapa RUTO alitoa amri jeshi likapambane na wezi wa Mfugo au unajitoa ufahamu?
Huelewi jeshi la wananchi jamani yaani linamilikiwa na wananchi linawalinda wao dhidi ya maadui wa nje ya mipaka yao. Na ndio Mana linaheshimu raisi Mana Ni sauti ya raisi
 
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Utakufa masikini ndugu kwa kumchukia kila mwenye ela zake
 
Huelewi jeshi la wananchi jamani yaani linamilikiwa na wananchi linawalinda wao dhidi ya maadui wa nje ya mipaka yao. Na ndio Mana linaheshimu raisi Mana Ni sauti ya raisi
Jama amesema Jeshi halihusiki na mambo kama hayo, ndio nimemwambia akarudie hotuba ya Ruto na siku anawaamuru wanajeshi wakapambane na qezi wa Mifugo.
 
Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Hasa kipindi kile wananunua koroshow
 
Back
Top Bottom