Siyo kweli, Jeshi lilikaa pembeni, ni crime against humanity Jeshi kuattack raia ambao liko kuwalinda, Katiba ya Kenya iko clear.
Mfano Kenya kuna fujo huko north Wafugaji kama Wamasai wanashambulia Polisi na kuwauwa kwa mishale, Polisi waliuliwa kama
Wanyama lkn Serikali ya Kenya haikutuma Jeshi lake ingawaje Polisi walizidiwa unajua ni kwa nini?
Jibu ni kwamba Katiba ya Kenya hairuhusu Jeshi kuwa deployed against raia ni kazi ya Polisi, siyo kama Tanzania Jeshi linatumika dhidi ya boda boda, hilo ni Tanzania tu.