Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Rais Ruto kukimbilia Tanzania?

Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Sio kweli we Mkenya!.Lete ushaidi we ubwabwa.
 
Hata kama ni waasi maadamu ni Wakenya Jeshi halina business ya kuingilia, haijalishi nini kitatokea, hiyo ndiyo Katiba, uliona Egypt Mubarak alivyoondolewa? Jeshi lilikaa pembeni Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kugusa raia, ni Tanzania tu Wanajeshi huoiga na kutesa raia wanaopaswa kuwalinda,…
Wajeda wetu hawataki kulike comment yako [emoji1787]
 
Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Ni lini na wapi JWTZ waliingia mtaani kuwapiga raia. Leta ushahidi
 
Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Wapi Bwana acha kusingizia Jeshi! Ila Polisi hao nakubali
 
Anaweza kutumia jeshi iwapo atatangaza hali ya hatari(emergency decree) kisheria.
Kwahiyo hao Raia hata wakifanya ujinga Jeshi hawaruhusiwi kuwapiga? Juzi tu hapa RUTO alitoa amri jeshi likapambane na wezi wa Mfugo au unajitoa ufahamu?
 
Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.

Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Kumekucha !
 
Taifa Gas hii ya Rostam Aziz wa Tanzania?
Inahusika vipi Kwa Ruto kuikimbia Kenya?!
 
Hata kama ni waasi maadamu ni Wakenya Jeshi halina business ya kuingilia, haijalishi nini kitatokea, hiyo ndiyo Katiba, uliona Egypt Mubarak alivyoondolewa? Jeshi lilikaa pembeni Kikatiba Jeshi haliruhusiwi kugusa raia, ni Tanzania tu Wanajeshi huoiga na kutesa raia wanaopaswa kuwalinda,…
Nchi nyingine wanakeshi wanao husika na Family za viongozi ni wachache sana,huku kila kiongozi wa ccm kuanzia mjumbe,mwenyekiti,Diwani,Mbunge na ndugu wa rais wana ndugu zao Jeshini.
 
Pamoja na kujifanya mbabe kwaj kutumia jeshi isivyo halali,LAKINI mshindi Ni Tanzania.Leo Huyo Magu yupo wapi Sasa ! TANZANIA BADO IPO,NA ITAENDELEA KUWEPO.
 
Mapinduzi sio kazi rahisi. Wataelewana tu
 
Ila Raila nae kaipeleka kisiasa sana kawapandisha mori watu hafu anakuja kuwaambia watakuwa wanaandamana kila jumatatu then what ?
Anatafuta hand shake huyo! Mzee mpumbavu sana!
 
Back
Top Bottom