Mafunzo jeshi wanayopitia ukiwaelekeza kwa raia wako inabidi utangaze hali ya hatari. Raia jeshi lao ni polisi.Kwahiyo hao Raia hata wakifanya ujinga Jeshi hawaruhusiwi kuwapiga? Juzi tu hapa RUTO alitoa amri jeshi likapambane na wezi wa Mfugo au unajitoa ufahamu?
Kumbuka na wananchi wa Kenya na Maiti ni tofauti...wananchi wa Kenya wakiamua anakimbia mbona mapema sana. Kama yule mzee mjuaji wa Tunisia alikimbia sembuse Ruto.wewe huna akili Ruto wa kukimbia au raila ndio akimbie, ruto na makufuli mwendo wao hauna tofauti
Ni upepo tu utapita 😊😊Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.
Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Maskini jiwe,amebaki kuwa historia inayozungumzwa vibaya na kila mtuNimekumbuka baada ya uchaguzi 2015, Ukawa walitaka kuitisha maandamano. Marehemu akasema sawa, akawapa wanajeshi sare za Polisi na alikuwa serious na hilo alidhamiria hasa kuwaonesha yeye ni nani. Nadhani wenye busara waliwashauri viongozi ukawa wakasitisha maandamano
Haendi popoteJe, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.
Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Ametegeshewa Mtego kumbuka ile kesi ya Icc ilihairishwaRais na Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi !!.
Acha na ICC wajinga hao, Toka ICC ianzishwe mwaka 2002, umeona inawahukumu wazungu?? Zaidi ya Waafrika???na Putin?.Ametegeshewa Mtego kumbuka ile kesi ya Icc ilihairishwa
Hakuna maandamano ya Namna hiiIla Raila nae kaipeleka kisiasa sana kawapandisha mori watu hafu anakuja kuwaambia watakuwa wanaandamana kila jumatatu then what ?
Umeanza vizuri hoja yak,Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Aliyekudanganya ni nani.....Hawa ni wanajeshi zaidi ya 2000 wakiwa na silaha kuzunguka maeneo mbalimbali ya Bunge la marekani sasa jichanganye kujifanya kiherehere uone cha moto....Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Sasa Ruto ana husiana nini na Taifa gas?Je, yakimzidi Ruto atakimbiliwa wapi? Ana options mbili ya kwanza ni Uganda na ya pili ni Tanzania, ila popote atakapoenda Raila atamfwata tu.
Ukombozi umekaribia, Taifa gesi ni Wizi, …
Aliyekudanganya ni nani.....Hawa ni wanajeshi zaidi ya 2000 wakiwa na silaha kuzunguka maeneo mbalimbali ya Bunge la marekani sasa jichanganye kujifanya kiherehere uone cha moto....
Hawawezi kumchukia mana ilikuwa ni project maalumu, wakishamaliza kazi waliyopewa wanarudi kwenye vyeo vyao kama kawaida.Kuanzia hapo wakamchukia hadi leo hii
Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Ni lini na wapi JWTZ waliingia mtaani kuwapiga raia. Leta ushahidi
Hamia unakoona panakufaaSiyo kweli, Jeshi lilikaa pembeni, ni crime against humanity Jeshi kuattack raia ambao liko kuwalinda, Katiba ya Kenya iko clear.
Mfano Kenya kuna fujo huko north Wafugaji kama Wamasai wanashambulia Polisi na kuwauwa kwa mishale, Polisi waliuliwa kama
Wanyama lkn Serikali ya Kenya haikutuma Jeshi lake ingawaje Polisi walizidiwa unajua ni kwa nini?
Jibu ni kwamba Katiba ya Kenya hairuhusu Jeshi kuwa deployed against raia ni kazi ya Polisi, siyo kama Tanzania Jeshi linatumika dhidi ya boda boda, hilo ni Tanzania tu.
Tanzania tunahitaji kufunga na kuomba.Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!