Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Kumbuka watu walipenya mpaka bungeni wakafanya yaoAliyekudanganya ni nani.....Hawa ni wanajeshi zaidi ya 2000 wakiwa na silaha kuzunguka maeneo mbalimbali ya Bunge la marekani sasa jichanganye kujifanya kiherehere uone cha moto....
Anataka keki huyu Raila. Anatoa mwanya wa Ruto kutafakari na kumpatia 3 basic needs :-Ila Raila nae kaipeleka kisiasa sana kawapandisha mori watu hafu anakuja kuwaambia watakuwa wanaandamana kila jumatatu then what ?
Kwa hiyo wewe kwa akili yako unajua jeshi ni wale wa mabakabaka tu.Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
Hayo yote yapo mikononi mwa MunguTanzania tunahitaji kufunga na kuomba.
Ukandamizaji umepelekea mioyo ya watu kufa tamaa kabisa
Watu wanachotegemea ni RAIS kutoka CCM awanasue kwenye mkwamo. Watanzania tunachunguzwa mpaka mawazo yetu
Hali ni mbaya kuliko happy keyboard heroes wanavyojinasibu
Hapo siyo Raila pekee yake jua hata na Uhuru yupo nyuma ya Raila.Raila Ali mchallenge Moi akashinda
Raila Ali mchallebge KIBAKI akashinda akapata katiba
RAila Ali mchallenge uhuru akapata handshake akawa kwenye serekali ya uhuru
SASA Anajaribu Tena kwa Ruto nazani huumoto mwingine utamuunguza muda sio mrefu
Umerogwa wewe mzee lkn wenzako tupo vizuri sana ndiyo maana Jiwe aliamua kutumia vifaruWatz sasa sijui nani alituroga kila kitu tupo kimyaaa hovyo kabisa
Keyboard warrior [emoji706][emoji706]
Kwani hujui kusoma kilichoandikwa hapo au kingereza shida...Hii ilikuwa siku ya kuapishwa Biden ...baada ya Ule uvamizi ndyo Jeshi lilitumwa...Kumbuka watu walipenya mpaka bungeni wakafanya yao
Polisi wa Kenya wanaovaa yale magwanda ya mabakamabaka.Katiba hairuhusu Jeshi kutumika dhidi ya raia, ni crime, Wanajeshi wa Kenya na nchi nyingine Duniani siyo kama Wanajeshi wa Tanzania hawaruhusiwi kugusa raia, wako kuwalinda, Tanzania Wanajeshi wanapiga raia waliopaswa kuwalinda!
SAWA mzungu kwani hao walikwenda kufanya fujo bugeni ilikuwa lini na bi Kwa sababu Gani?Kwani hujui kusoma kilichoandikwa hapo au kingereza shida...Hii ilikuwa siku ya kuapishwa Biden ...baada ya Ule uvamizi ndyo Jeshi lilitumwa...
Na nadhani unafahamu kazi ya wanajeshi siyo kuuza Ice cream.
Bora lilikufa jibwa lileNimekumbuka baada ya uchaguzi 2015, Ukawa walitaka kuitisha maandamano. Marehemu akasema sawa, akawapa wanajeshi sare za Polisi na alikuwa serious na hilo alidhamiria hasa kuwaonesha yeye ni nani. Nadhani wenye busara waliwashauri viongozi ukawa wakasitisha maandamano
Kwa Hiyo tz lini uliona jwtz wakiwa barabarani kutuliza ghasia au kuzuia maandamanoSiyo kweli, Jeshi lilikaa pembeni, ni crime against humanity Jeshi kuattack raia ambao liko kuwalinda, Katiba ya Kenya iko clear.
Mfano Kenya kuna fujo huko north Wafugaji kama Wamasai wanashambulia Polisi na kuwauwa kwa mishale, Polisi waliuliwa kama
Wanyama lkn Serikali ya Kenya haikutuma Jeshi lake ingawaje Polisi walizidiwa unajua ni kwa nini?
Jibu ni kwamba Katiba ya Kenya hairuhusu Jeshi kuwa deployed against raia ni kazi ya Polisi, siyo kama Tanzania Jeshi linatumika dhidi ya boda boda, hilo ni Tanzania tu.