Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Rejea kipindi cha Kikwete huyu kwenye issue ya udini huwa yuko tayari kutembea hata na bikini ili mradi aliyepo madarakani ni kundi lake
 
Ndo huo sasa ambao umepitwa na wakati, watu wanataka kwenda mbele wewe na genge lako mpo kuroga tuu.
Kuloga ni ujanja.Unafikiri kila mtu anao ulozi?Ulozi siyo makalio kwamba kila mtu anayo!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"Akili mgando ndio tatizo hapa

FaizaFoxy anakaa mkuranga hapo kwa mkanada hongera kumbe Jirani yangu,haisee pazuri kweli kama ulaya hongera sana.
Hapo ndipo kwangu. Karibu sana, Ma shaa Allah matunda kula mpaka uhare, bure. Mabwawa ya samaki wewe chota tu ukajipatie kitoweo na jirani zako, bure. AlhamduliLlah.

Tanzania ni nchi tajiri sana, Watanzania ndiyo wajinga. Mungu hajatupa vyote, katua nchi tajiri lakini mijitu eti misomi, kama Lussu. Khaa.
 
Tangu nianze kuwasikiliza wanaotetea mkataba Kila anayetetea, anaelezea faida za uwekezaji na uwezo wa DP World kitu ambacho Kila Mwananchi anakijua. Vilivyomo ndani ya mkataba ndio watu wanavipinga! Kwanini msiyajibu maswali yanayoulizwa ndani ya mkataba? Kwani mnadhani sisi hatujui umuhimu wa uwekezaji au uwezo mkubwa wa DPW? Au mnadhani Kuna yeyote hapendi tumweke mwekezaji atakayefanya Bandari zetu zifanye vizuri zaidi?Jibuni hoja za kwenye Mkataba tumalize malumbano, mkishimdwa, mkataba ufutwe, mchakato uanze upya wenye ushirikishwaji basi!
 
Lissu anakupa headache sana.Utajuta kumjua.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kidumu milele CHAMA CHA MAPINDUZI. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkataba upi mnaoungolea? Mbona tunaongea kijinga jamani?

IGA siyo mkataba wa undeshaji banadri au kingine chochote jamani.


Hatuna mkataba, ndiyo inafanyiwa kazi. Mbona tu wajinga kisi hiki?

Halafu ukisikia mkataa wa Kimataifa, basi wewe hata uwe mjinga vipi au uwe mjanja vipi, unajisumbuwa tu. Umoja wa Mataifa ndiyo unaileinda yote. Hakuna ujanja wala ujinga kwemye mikataba ya Kimataifa.
 
Mkataba upi mnaoungolea? Mbona tunaongea kijinga jamani?

IGA siyo mkataba wa undeshaji banadri au kingine chochote jamani.


Hatuna mkataba, ndiyo inafanyiwa kazi. Mbona tu wajinga kisi hiki?
Umejibu ulichoulizwa au unaimba wimbo wa "Jamani"?Hebu bugia ugoro kidogo akili ikurudie!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inshaallah,bila chuki bila unafiki tukajifunze kwa mdada huyu...!fikra duni na mfu ni tatizo!,binafsi najifunza tuachane na Viwanja Vya 20kwa20, tukae kwenye maeneo ya kuanzia ekari na kuendelea.
 
si mnayo serikali/nchi yenu ya zanzibar? wauzieni hawa waarabu na si tanganyika yetu
 
Inshaallah,bila chuki bila unafiki tukajifunze kwa mdada huyu...!fikra duni na mfu ni tatizo!,binafsi najifunza tuachane na Viwanja Vya 20kwa20, tukae kwenye maeneo ya kuanzia ekari na kuendelea.
Huyo siyo mdada.Andika kikongwe mchawi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Faiza

Waache watanzania waamue wao inavyofaa na si kutumia nguvu kiasi hiki

Lini umesikia ndege za Kenya zimekamatwa kwakidaiwa baada ya kuvunja mikataba ?

GESI tulipelekeshwa hivihivi matokeo yake Leo gesi n ghali kuliko nishat yoyote hapa nchini

Mkataba unajadiliwa siku tatu TU kisha unapitishwa kwa nguvu hii haikubaliki hata kidogo

Wakati wa jakaya faiza ulikuwa mstari wa mbele Sana kuukubali utawala ule MZALENDO John alipoingia madarakani ukageuka leo Samia unaunga juhudi

Faiza ungekuwa kila siku unaleta kifungu kimoja unachambua kutuelewesha ingekuwa vema Sana

Juhudi zinungwa kwa juma asha lakn akiwa Benja John Julius hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…