kambagasa
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 2,269
- 1,803
Rejea kipindi cha Kikwete huyu kwenye issue ya udini huwa yuko tayari kutembea hata na bikini ili mradi aliyepo madarakani ni kundi lakeKatika kuelezea kwako sakata la Dubai na uwekezaji hapa nchini naona unaandika kwa haraka na kukosa umakini wa uandishi kila unapo andika.
Kenya unaita Kenye nk.
Naona wewe ni mhusika Mkuu wa karibu kabisa wa huu uwekezaji unaoupigia chapuo kwa jasho na damu.
Sisi hatuukatai mkataba wala Waarabu, tunakataa vipengele vyake tu. Rekebishani tu mfanye nao biashara bila wasi wasi.