Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

Nimekuandikia hapo juu. Naona hata kusoma hutaki.
Ngoja nikuwekee tena hapa.

"Mambo kama ya Tanzania will inform Dubai in all other ports opportunities including Lakes hatuyataki.
Tanzania ni nchi huru na kubwa kupita UAE, hiyo minyororo haitakubalika.
Na hayo mengine unayajua"

Hizo haraka zenu tunaweza kuziita ni UKUWADI haramu.
Nini kinawashinda kuwasikiliza wenye nchi ?
Haraka ya kuwasujudia Waarabu unayotaka sio.
Shida nini??,Kodi ya kanisa pale bandini itaondoka tu hata mpige kelele kiasi gani
 
Sana, likija suala la uchumi Kenya hatuwapati kabisa. Wapo mbali sana na wakati sisi tunalumbana kijinga huku Waarabu na vigati vya bandarini, wao wanawatafuta Waarabu na wanawaambia njooni muwekeze mnachotaka hapa.
Huko shuleni uliposoma ulisoma kitu Gani?
90% ya wanaohoji na kupinga sio kwamba hawataki wawekezaji, wanakataa mikataba nyonyaji inayotaka kuingia serikali yetu.

Unasema una exposure ni sawa, ila wewe una exposure kubwa kumzidi Prof. Tibaijuka?
Acha kuwaona watanzania wachawi kisa wameona usipoona wewe.

Ili nchi ipate maendeleo huwezi kukwepa wawekezaji, Dunia inaenda Kasi sana huwezi kuwa kisiwa lakini uwekezaji usiwe kandamizi, Kizazi mpaka kizazi.
 
Hana uzee kwa jinsi unavyodhania, she is 50+
Upo wrong kijana, jaribu tena. Ntakupa hint nione kama zina chaji.

Uhuru wa Tanganyika nimeushuhudia, Nimeishi na Nyerere kuanzia Waziri Mkuu mpaka kawa rais. AlhamduliLlah mpaka leo hii nipo na mama Samia.

Piga hesabu zako uje japo na miaka inayokaribiana.

Punguani wahed.
 
Huku Tanzania tuna watu wana fikra za kichawi na hii imechangiwa na roho mbaya.

Watu wanawaza kukwamisha,kukomoa na kujitoa ufahamu tuu ili kuleta taharuki kwa jamii na mambo yakwame wafurahi, ni watu wa ajabu sana hawa wapinga maendeleo.
Wakishaona hakuna self benifts basi watajitahidi kukwamisha hata kama faida ya suala husika ni ya jamii ya wengi,hawa watu ni zaidi ya wachawi
 
Shida nini??,Kodi ya kanisa pale bandini itaondoka tu hata mpige kelele kiasi gani
Eeeh bwana nikupe siri?

Unawaona wale wote wanotembeza biashara za "promosheni", zote zile zinaingiwa kwa jina la kanisa.

Halafu uliza kwanini vitenge vilibaniwa? Dah inaliza.

Kilio huko.
 
Wakishaona hakuna self benifts basi watajitahidi kukwamisha hata kama faida ya suala husika ni ya jamii ya wengi,hawa watu ni zaidi ya wachawi
Ni "ignorants" sijuwi Kiswahili chake ni nini? Wajinga.
 
Tuna hazina kubwa sana ya nguvu kazi kwann tusiwaexport nje tupate pesa za kigeni
 
Yan acheni roho mbaya, mnataka bibii yetu aende saud arabia akafanye nn? Bado tunampenda
 
Huko shuleni uliposoma ulisoma kitu Gani?
90% ya wanaohoji na kupinga sio kwamba hawataki wawekezaji, wanakataa mikataba nyonyaji inayotaka kuingia serikali yetu.

Unasema una exposure ni sawa, ila wewe una exposure kubwa kumzidi Prof. Tibaijuka?
Acha kuwaona watanzania wachawi kisa wameona usipoona wewe.

Ili nchi ipate maendeleo huwezi kukwepa wawekezaji, Dunia inaenda Kasi sana huwezi kuwa kisiwa lakini uwekezaji usiwe kandamizi, Kizazi mpaka kizazi.
Serikali ilishasema ipo tayari kuipokea ushauri na kufanya maboresho pale penye kuhitaji maboresho,huyo tibaijuka unaemzungumzia ndio yule wa kwenye mgao kipindi kile au tibaijuka mwingine??,wasomi wa Tanzania si wa kuwaamini tena,nadhani huko shule wanasomea wizi na namna ya kujibinafsisha Mali za watanzania
 
Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya.

Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi, hivi sasa Kenya ina wafanyakazi laki mbili Saudi Arabia.

Katika maongezi hayo, Sai Arabia imewaahidi Kenya kuwapa mafuta ya gharama nafuu ndani ya miezi miwili ili kuwapunguzia tatizo la mfumko wa bei linalowakabili Kenya sasa hivi.

Sasa naelewa kwanini Kenya haina maliasili za kutosha lakini imetupita sana kiuchumi. Wana fikra za kimaendeleo, kinyume na sisi tuna fikra za kichawi za kurudishana nyuma tu.

Ushahidi huu hapa:

Tanzania Kuna watu wajinga na mambumbumbu sana so ukiwasikiliza hao utashindwa kujenga uchumi wa Nchi.

Ni kuwapuuza wakileta fyoko fyoko vunja mguu, haiwezekani mtu hana hela hana chochote Cha maana anasaidia Nchi Ina kazi yake ni kupotosha na kuchochea vurugu na kuharibu uchumi.
 
Katika kuelezea kwako sakata la Dubai na uwekezaji hapa nchini naona unaandika kwa haraka na kukosa umakini wa uandishi kila unapo andika.
Kenya unaita Kenye nk.

Naona wewe ni mhusika Mkuu wa karibu kabisa wa huu uwekezaji unaoupigia chapuo kwa jasho na damu.

Sisi hatuukatai mkataba wala Waarabu, tunakataa vipengele vyake tu. Rekebishani tu mfanye nao biashara bila wasi wasi.
Hana uhusika wowote, huyo kila kitu ni dini tu, anajamba uislamu anakunyah uislamu, akipigwa machine anaanza na bismilahi.
 
Mimi natamani sana DP World waanze kazi leo kabla ya kesho. Nafahamu faida zake. Namshuru Mwenyezi Mungu nilipata "exposure" kubwa sana duniani huko.

Naifahamu Dubai na jinsi wanavyofanya biashara zao kiuaminifu mkubwa sana.

Waulize wafanya biashara na wajasiriamali tu wanaofanya kazi zao na Dubai. Watakueleza.
Naunga mkono hoja,Dunia ya Sasa pesa wanayo Waarabu
 
Huku Tanzania tuna watu wana fikra za kichawi na hii imechangiwa na roho mbaya.

Watu wanawaza kukwamisha,kukomoa na kujitoa ufahamu tuu ili kuleta taharuki kwa jamii na mambo yakwame wafurahi, ni watu wa ajabu sana hawa wapinga maendeleo.
Tanzania Ina watu wapumbavu sana na Kila siku Huwa nasema hii ni madhara ya ujamaa na ujima mbuzi ambao kina Nyerere waliwajaza watu ,Nchi imesalia ya watu wajinga wajinga,walalamishi,wasio na majibu na mdomo mwiiiingi harafu Cha kuonesha hamna..

Natoka mfano mdogo tuu wakati wa Jiwe Ile inaitwa conference Tourism ilikufa kabisaa Kwa sababu ya sera za kindezi,Leo hii Tanzania Iko top 5 Africa Kwa Conference Tourism ndani ya miaka 2 tuu ya Samia na Nchi inapata mabilioni ya Shilingi.

Rais angekuwa na sera za kindezi kwenye uchumi na Biashara sijui ingekuaje,hivyo hivyo na kwenye uwekezaji Tunaenda mbio sana top 5 Africa Kwa Sasa..

Binafsi watu wenye mawazo ya Kijamaa nawachukia na I want them to be swept away na nimeelewa Kwa nini Wazungu walikuwa wanawakata vichwa miaka Ile ya movements za uhuru.
 
Serikali ilishasema ipo tayari kuipokea ushauri na kufanya maboresho pale penye kuhitaji maboresho,huyo tibaijuka unaemzungumzia ndio yule wa kwenye mgao kipindi kile au tibaijuka mwingine??,wasomi wa Tanzania si wa kuwaamini tena,nadhani huko shule wanasomea wizi na namna ya kujibinafsisha Mali za watanzania
Ni kweli nimeliona Hilo tamko na Kila mtanzania anayetakia kheri nchi yetu tunasubiri utekelezaji wa maoni ya watu wengi wanayotoa kwenye social media, press na majukwaa mengine pamoja na walaka tofauti tofauti.

Upande wa Prof. Tibaijuka personal Kila binadamu anamapungufu na Kila binadamu Kuna sehemu alifanya makosa, hii haifanyi hasiaminike milele. ( No body is perfect)
Kila binadamu anaubora wake na mapungufu yake chota ubora mapungufu achana nayo.
 
Tanzania Ina watu wapumbavu sana na Kila siku Huwa nasema hii ni madhara ya ujamaa na ujima mbuzi ambao kina Nyerere waliwajaza watu ,Nchi imesalia ya watu wajinga wajinga,walalamishi,wasio na majibu na mdomo mwiiiingi harafu Cha kuonesha hamna..

Natoka mfano mdogo tuu wakati wa Jiwe Ile inaitwa conference Tourism ilikufa kabisaa Kwa sababu ya sera za kindezi,Leo hii Tanzania Iko top 5 Africa Kwa Conference Tourism ndani ya miaka 2 tuu ya Samia na Nchi inapata mabilioni ya Shilingi.

Rais angekuwa na sera za kindezi kwenye uchumi na Biashara sijui ingekuaje,hivyo hivyo na kwenye uwekezaji Tunaenda mbio sana top 5 Africa Kwa Sasa..

Binafsi watu wenye mawazo ya Kijamaa nawachukia na I want them to be swept away na nimeelewa Kwa nini Wazungu walikuwa wanawakata vichwa miaka Ile ya movements za uhuru.

Communist na socialist ni madikteta wa kutupwa.
 
Back
Top Bottom