Mwanahabari wa Taifa
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 1,588
- 956
Jf zihami kabisa,
Haya mambo unayapata wapi
Samia Mama lao aise
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf zihami kabisa,
Watanzania gani mkuu,Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Mkuu mbona nimeeleza vizuri hapo,Mbona tunaipokea sasa kama hatuitegemei.
Unadhani kuendesha bajeti kwa 91.9% sio kujitegemea mkuu?Kutegemea misaada ni kufa kwa fikra za watawala,tuna raslimali tele zimejaa tumeshindwa zitumia.
Wakati mkoloni alituletea maendeleo kupitia kilimo tu
Usiamini maneno ya wanasiasaUnadhani kuendesha bajeti kwa 91.9% sio kujitegemea mkuu?
Tanzania tuko vizuri sana tusijishushe tuko vizuri kimataifa,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Misaada ulevya udumazaMkuu mbona nimeeleza vizuri hapo,
Misaada sio sisi Tanzania pekee tunapokea,
Misaada kwetu ni muhimu sana ila sio lazima,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Ndio hata kama ingekuwa 8% : 8%Misaada ya wahisani kutoka 8.2% hadi 8.1% sawa na punguzo la 1%.
User mpya kazi 2021 maalumu ,hatudanganyiki ,anachokifanya Samia ni muendelezo wa kazi nzuri za hayati Magufuli,kila kitu kilipangwa yaani anasukuma mlevi tu ,sioni jipya kwakweWatanzania gani mkuu,
Hujaona kule KCMC Leo?
Kazi yangu maalum ni kulipigania Taifa langu,
Ikiwa ni pamoja na kuzuia uzushi kama huu kwamba Serikali ya Rais Samia inategemea mkopo,
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Kwanini nisiamini?Usiamini maneno ya wanasiasa
Ndio maana Rais Samia anaipunguza kidogo kidogoMisaada ulevya udumaza
Sawa mkuu wangu,User mpya kazi 2021 maalumu ,hatudanganyiki ,anachokifanya Samia ni muendelezo wa kazi nzuri za hayati Magufuli,kila kitu kilipangwa yaani anasukuma mlevi tu ,sioni jipya kwakwe
Kwa sababu hawataki kuelewa watapinga.Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )
Katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia Suluhu Hassan amejikita zaidi kulipeleka Taifa kwenye kujitegemea kibajeti zaidi kwa kupunguza misaada na mikopo nafuu toka kwa wahisani ( donor country ) kutoka 8.2% ya bajeti ya FY2020|21 hadi 8.1% FY 2021|22 kwa lugha rahisi Rais Samia Suluhu Serikali yake imepunguza asilimia za misaada toka kwa wanaoitwa mabeberu,
Mtakumbuka katika bajeti ya FY2020|21 bajeti kuu ilikuwa ni Tshs 34.88trilioni huku mikopo nafuu na misaada ilikuwa Tshs 2.87trilioni sawa na 8.2% ya bajeti hiyo lakini mwaka huu katika bajeti yake ya kwanza Rais Samia ametenga Tshs 36.33% huku mikopo nafuu na misaada ikiwa ni Tshs 2.96trilioni sawa na 8.1% ya bajeti nzima ya Tshs 36.33trilioni.
Nikweli Tanzania tunapokea misaada na mikopo ya masharti nafuu kama wenzetu mbalimbali na tunaifurahia sana ikiwezekana tupewe tena na tena lakini kamwe hatuitegemei kwa 100% kwa lugha nyingine kukosekana kwa misaasa hakuifanyi Tanzania yetu ishindwe kulipa Mishahara ya watumishi wote wa umma,kuendesha Serikali kikamilifu ,kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo endelevu nchini kama SGR, JNHPP, Usambazaji wa maji safi na Salama mjini na vijijini,kusomesha watoto wote bure,Bima ya Afya kwa wote, REA,Ajira mpya, HESLB kwa kila mwenye sifa,Ununuzi wa ndege mpya 5 na mengine mengi,
Sikiliza hii, ikiwa bajeti yetu ya FY 2021|22 tumepanga kutumia Tshs 36.33trilioni na misaada|mikopo nafuu ni Tshs 2.96trilioni tu,Huku zakwetu sisi wenyewe toka kwenye kodi zetu na mikopo mbalimbali ni Jumla ya Tshs 33.37trilioni sawa na 91.9%,Tujiulize,Je! kama sisi wenyewe tunajitosheleza kwa 91.9% wewe unapata wapi Ujasiri wa kusema Tanzania tunategemea misaada ambayo ni 8.1%?!! acheni kujidharau dunia inatuheshimu sana Watanzania hasa sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
View attachment 1976452VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Nimekueleza vizuri chief hapo juu tayari,Mbona tunaipokea sasa kama hatuitegemei.
Mkuu salama.Kwa sababu hawataki kuelewa watapinga.
Hio misaada uliwa na wajanja juu chini Kazi yetu ni kulipa tu.Ndio maana Rais Samia anaipunguza kidogo kidogo
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Double IDHii awamu ngumu sana kwa matapeli wa maneno,
Hizi hoja zinatufungua sana jf
Kumbe Samia anapunguza misaada ili tujitegemee!
Hakuna kama Samia
Nikweli wanasimamia wao na sisi,Hio misaada uliwa na wajanja juu chini Kazi yetu ni kulipa tu.
Bora Watukabidhi miradi wasimamie wao.
Acheni kujitoa akili. Ni mbumbumbu ndio anaweza kuamini ushubwada kama huu ulioandika 0.1% ndio umekufanya uache kutegemea misaada. Then unapokea ya nini?Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na mashirika mbalimbali ya kifedha duniani kama World Bank ( WB ),International Monetary Fund ( IMF) African development Bank ( AfDB ), ADB, AIIB, EDRD, ISDB,UNDP,CEDB na mengine mengi ambayo ni multilateral finincial Institutions yaani ( IFIs )