CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #61
Mkuu Ndio maana nikafafanua kuwa,mfano uliotoa wa biashara ni irrelevant
kilichopo hapa ni unaomba msaada...huwezi kusema unataka both 1 na 0 wakati unaomba msaada..contradiction
Sisi bajeti yetu inajitosheleza kwa 91.9%
Hii 8.1.% tupate sawa,
Tusipate sawa
Kazi zitafanyika,Ndicho nilichomaanisha
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI