Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Kutegemea misaada ni kufa kwa fikra za watawala,tuna raslimali tele zimejaa tumeshindwa zitumia.
Wakati mkoloni alituletea maendeleo kupitia kilimo tu
 
Misaada ya wahisani kutoka 8.2% hadi 8.1% sawa na punguzo la 1%.
 
Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Watanzania gani mkuu,

Hujaona kule KCMC Leo?

Kazi yangu maalum ni kulipigania Taifa langu,

Ikiwa ni pamoja na kuzuia uzushi kama huu kwamba Serikali ya Rais Samia inategemea mkopo,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Mbona tunaipokea sasa kama hatuitegemei.
Mkuu mbona nimeeleza vizuri hapo,

Misaada sio sisi Tanzania pekee tunapokea,

Misaada kwetu ni muhimu sana ila sio lazima,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Kutegemea misaada ni kufa kwa fikra za watawala,tuna raslimali tele zimejaa tumeshindwa zitumia.
Wakati mkoloni alituletea maendeleo kupitia kilimo tu
Unadhani kuendesha bajeti kwa 91.9% sio kujitegemea mkuu?

Tanzania tuko vizuri sana tusijishushe tuko vizuri kimataifa,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Unadhani kuendesha bajeti kwa 91.9% sio kujitegemea mkuu?

Tanzania tuko vizuri sana tusijishushe tuko vizuri kimataifa,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Usiamini maneno ya wanasiasa
 
Mkuu mbona nimeeleza vizuri hapo,

Misaada sio sisi Tanzania pekee tunapokea,

Misaada kwetu ni muhimu sana ila sio lazima,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Misaada ulevya udumaza
 
Misaada ya wahisani kutoka 8.2% hadi 8.1% sawa na punguzo la 1%.
Ndio hata kama ingekuwa 8% : 8%

Nilazima tuseme kutokana na wazushi wanavyozusha kuwa awamu ya tano inategemea mikopo na misaada jambo ambalo sikweli,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Watanzania gani mkuu,

Hujaona kule KCMC Leo?

Kazi yangu maalum ni kulipigania Taifa langu,

Ikiwa ni pamoja na kuzuia uzushi kama huu kwamba Serikali ya Rais Samia inategemea mkopo,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
User mpya kazi 2021 maalumu ,hatudanganyiki ,anachokifanya Samia ni muendelezo wa kazi nzuri za hayati Magufuli,kila kitu kilipangwa yaani anasukuma mlevi tu ,sioni jipya kwakwe
 
Usiamini maneno ya wanasiasa
Kwanini nisiamini?

Niwao wanasomesha watoto wangu bure,

Niwao wanaleta umeme kijijini kwetu

Niwao wanapanga bei ya vitu iweje

Unatakaje nisiwaamini?

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
User mpya kazi 2021 maalumu ,hatudanganyiki ,anachokifanya Samia ni muendelezo wa kazi nzuri za hayati Magufuli,kila kitu kilipangwa yaani anasukuma mlevi tu ,sioni jipya kwakwe
Sawa mkuu wangu,

Kwakuwa Magufuli ni CCM na Samia ni CCM wewe ungamkono Chama,

Maagufuli kafanya mazuri na mama anayaendeleza analeta na mengine mapya kazi inaendelea,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Kwa sababu hawataki kuelewa watapinga.
 
Ndio maana Rais Samia anaipunguza kidogo kidogo

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Hio misaada uliwa na wajanja juu chini Kazi yetu ni kulipa tu.
Bora Watukabidhi miradi wasimamie wao.
 
Hio misaada uliwa na wajanja juu chini Kazi yetu ni kulipa tu.
Bora Watukabidhi miradi wasimamie wao.
Nikweli wanasimamia wao na sisi,

Tusijidharau kama kunamtu anaharibu basi apewe adhabu yeye

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
 
Acheni kujitoa akili. Ni mbumbumbu ndio anaweza kuamini ushubwada kama huu ulioandika 0.1% ndio umekufanya uache kutegemea misaada. Then unapokea ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…