CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
-
- #41
"Tunapokea Ila Hatuitegemei"..ndio lugha ya wapi hii?
Sikulaumu ndugu yang sababu najua umeshalishwa sumu na wachumia tumbo. Wanaojifanya wanapigania masilahi ya wananchi na wanachama wao kumbe ki uhalisia wanapigania matumbo yao.Mama hata ujipigie debe vipi, kazi imeishakushinda
Hoja hapa ni 91.9% kujitegemea mkuu,Acheni kujitoa akili. Ni mbumbumbu ndio anaweza kuamini ushubwada kama huu ulioandika 0.1% ndio umekufanya uache kutegemea misaada. Then unapokea ya nini?
Mr Dudumizi mweleweshe ataelewa tu muda bado tunao,Sikulaumu ndugu yang sababu najua umeshalishwa sumu na wachumia tumbo. Wanaojifanya wanapigania masilahi ya wananchi na wanachama wao kumbe ki uhalisia wanapigania matumbo yao.
Hata hao wajanja unaomaanisha hapa wamechangishwa na wamepigwa michango ya kampeni vile vile.. Kuna watu bado wanaamini kuwa huyu jamaa akishinda uraisi Tanzania itakuwa ni zaidi ya China na USA.Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Ndio hoja yako hii?Double ID
Chadema ilishakufa mkuu Wangu,Kuna watu bado wanaamini kuwa huyu jamaa akishinda uraisi Tanzania itakuwa ni zaidi ya China na USA.
View attachment 1976535
Ukweli ni kwamba wengi wanaelewa lkn wakionesha kuelewa kwao hapa jukwaani, basi watakosa kutumiwa bando na wale wanao watuma.Mr Dudumizi mweleweshe ataelewa tu muda bado tunao,
Ukirejea alichosema Msigwa utaelewa vizuri Sana
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Nimekwambia misaada tunaitaka sana tu ila hata bila misaada mzigo unafika,Msaada ni unapokea au hupokei,mengine ni mavi unaongea hapa...
Na documents mlizotuma kuomba hiyo "misaada" kwanini mnatuma barua kuomba kama sio "lazima"?
Naunga mkono hoja yako 100%Ukweli ni kwamba wengi wanaelewa lkn wakionesha kuelewa kwao hapa jukwaani, basi watakosa kutumiwa bando na wale wanao watuma.
Pacha unaeleweka sana tu, kama mtu atashindwa kukuelewa hata elewa milele,Sisi Tanzania kama nchi nyingine duniani tunapokea misaada na mikopo toka nchi wahisani pamoja na
Mbona umepanic mwanakarekwe?Ndio hoja yako hii?
Hata wewe ni "ID" yangu mbona husemi?
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Wapinzani wamekaa bungeni zaidi ya miaka 15 na wengine wameongoza vyama vyao zaidi ya miaka 20. Lakin mpaka leo hawana chochote cha maana walichofanya kuanzia majimboni kwao mpaka katika vyama vyao.Naun
Naunga mkono hoja yako 100%
Samia ni mtu imara sana kwa sasa tumsapoti tu
#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
endelea na moyo huo huo@CM 1774858 ,
Ila Moshi sio mkoa mkuu,endelea na moyo huo huo
Vijana wazalendo wamepungua sana
Rais Samia anaupiga mwigi balaa leo Mkoa wa Moshi kafunika aise
Wale ni watafuta vyao sio vya wananchi kama ilivyo kwa CCM,Wapinzani wamekaa bungeni zaidi ya miaka 15 na wengine wameongoza vyama vyao zaidi ya miaka 20. Lakin mpaka leo hawana chochote cha maana walichofanya kuanzia majimboni kwao mpaka katika vyama vyao.
Mbona inaeleweka sana tu,Sentensi ya CONTRADICTION hii
Upo confused,huwezi taka 1 na 0 kwa wakati huo huo mmoja,hii ni mathematically and practically impossible!
Mama hata ujipigie debe vipi, kazi imeishakushinda
Utukufu kwa Mungu juu Pacha,Pacha unaele
Pacha unaeleweka sana tu, kama mtu atashindwa kukuelewa hata elewa milele,
Tanzania iko salama sana kwa Rais Samia,
Kunawatu wachache sana ndio wanajidai hawaoni hii kazi ya Mama yetu
Kazi iendelee