Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

mfano uliotoa wa biashara ni irrelevant

kilichopo hapa ni unaomba msaada...huwezi kusema unataka both 1 na 0 wakati unaomba msaada..contradiction
Mkuu Ndio maana nikafafanua kuwa,

Sisi bajeti yetu inajitosheleza kwa 91.9%

Hii 8.1.% tupate sawa,

Tusipate sawa

Kazi zitafanyika,Ndicho nilichomaanisha


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
 
Mkuu Ndio maana nikafafanua kuwa,

Sisi bajeti yetu inajitosheleza kwa 91.9%

Hii 8.1.% tupate sawa,

Tusipate sawa

Kazi zitafanyika,Ndicho nilichomaanisha


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI ZAIDI
Unaeleweka sana tu jamaa hataki kuelewa
 
Sikulaumu ndugu yang sababu najua umeshalishwa sumu na wachumia tumbo. Wanaojifanya wanapigania masilahi ya wananchi na wanachama wao kumbe ki uhalisia wanapigania matumbo yao.
Tatizo lako ni polisi mbeba bunduki div IV 33
 
Ungesema imemshinda wapi mkuu,

Huu unaofanya ni ujuha tu


#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
Kuna ni wewe unayejifanya mjuaji kumbe unajipigia debe. Acha watu waone wenyewe mayowe ya nn?
 
Mungu mbariki Rais Samia,

Mpe kibali cha hali ya juu sana ili atuongoze kwa haki na usawa

Samia safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…