Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

Tena ungejua CCM 2025 uchaguzi ni kama tulishamaliza kabisa
 
Facts?,yaani nmekufuatilia nikajua uko kwa kazi maalumu,endelea mtalipukia mbele ,watanzania kwa sasa si wajinga ,hayo makaratasi yenu endeleeni nayo kujirisha matango pori
Hakuna cha kazi maalum mtu anatetea tu chama chake na Rais wake
 
Tanzania hatutegemei mkopo nakataa
 
Tuko vizuri tangu enzi za Hayati Rais John Pombe mpaka enzi za Samia,

#KAZI IENDELEE KWA KASI & WELEDI
πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Huyu mama Mungu ambariki sana,

Kumbe hata misaada amepunguza duuu,

Mama yuko Smart sana aise,
πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Haaaah!

Kumbe bajeti ya mama misaada ya mabeberu imepungua?
Mungu amlinde mama yetu sana

Waliosema tunategemea misaada njooni mjibu haoja za crde hapa,

CM 1774858 wewe ni mzalendo endelea kufukuza waongo wote wa nchii hii
πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ Andiko zuri sana
 
πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺ🏿πŸ’ͺπŸΏπŸ™ŒπŸΏπŸ™ŒπŸΏ
 
Haaaah!

Kumbe bajeti ya mama misaada ya mabeberu imepungua?
Mungu amlinde mama yetu sana

Waliosema tunategemea misaada njooni mjibu haoja za crde hapa,

CM 1774858 wewe ni mzalendo endelea kufukuza waongo wote wa nchii hii
Jf watu wanapenda udaku

Hapa ni fact tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…