PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!

Updates....

Rais Samia ameeleza kuwakwa mwaka huu sherehe za Muungano zitafanyika kwenye mikoa yote Tanzania ambapo viongozi mbalimbali wataungana na wananchi katika uzinduzzi w miradi ya Maendeleo.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni "miaka 61 ya muungano wa Tanzania, Muungano wetu ni dhamana, eshima na tunu ya Taifa, shiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 2025"

Rais Samia: Tutafanya kila tuwezalo kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa utulivu na amani ili kuwa na uchaguzi huru na wa haki

Rais Samia ameeleza pia kuwa falsafa ya 4R isiwe sababu ya kuvunja sheria. Aidha amewataka wananchikujittokeza kushiriki kwa wingi katika mchakato wa uchaguzi

Hakuna aliye juu ya sheria na wote tunatakiwa kuendesha shughuli zetu za kisiasa, tukizingatia amani na usalama wa nchni


Your browser is not able to display this video.
​

===
 

Attachments

  • Screenshot 2025-04-25 200243.png
    437.5 KB · Views: 41
Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Mseven ni Dikteta lakini sijawahi ona watu wanapigwa wakiwa Mahakamani😀😀
 
Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Atapongeza jeshi la polisi kwa kusimamia Amani, mahakama kwa kuendesha kesi ya lissu kwa kutumia technology ya kisasa kabisa. Chadema wajifunze kuweka amani mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…