Kwa nini iwe.siriNimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
usikute anataka kusema kuna mchongo fulani anaskilizia ili akamilishe miradi 😀 😀 😀Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Mseven ni Dikteta lakini sijawahi ona watu wanapigwa wakiwa Mahakamani😀😀
Atapongeza jeshi la polisi kwa kusimamia Amani, mahakama kwa kuendesha kesi ya lissu kwa kutumia technology ya kisiasa
Itakuwa vema,awaponye Hawa wanaowachochea polisi kutumia nguvu KUBWA na raslimali za Nchi kwa Mambo ya kipumbavu.Huyu tone tone Yuko Lupango Wala hajapelekwa mahakamani na hata angepelekwa,hofu ya Nini?Hana silaha,hao wafuasi sio jeshi.Hukubtunaimba Amani Kumbe tumejaa Hofu!Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Pia namiminitaandika baadaye
Ni hotuba zile zile za mipasho na lahaja za kizanzbari, hakuna jipya.Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki.
Binafsi nilichoona ni kama kwenye Hilo sakata kila mtu anataka kumfurahisha Rais na wanaharibu, hawajakaa kama team kuliendea hili jambo. Kwa sababu zifuatazoTafrani
Kwani kuna tatizo gentleman kupata salamu za rais kuelekea maadhimisho siku kuu ya Muungano kesho ?🐒Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Utakua wa kwanza kutafuta hotuba,full kuulizia, maana akilini kwako kuna tamaa zako 'anajiuzulu,anaamuru lissu aachiwe,'
Huwa hana huo muda,walichofanya polisi jana ni majibu kwa viongozi wa dini,lissu yuko ndani bado na wa nje wamekula mkong'oto,so viongozi wa dini wafanye kazi waliyoandika kwenye usajili wa taasisi zao..anakwenda kuwashutumu viongozi wa dini waliomshauri afanye Reforms.
Kabisaa,Ajiuzulu
Inasikitisha kwa kwa kweli mabavu hayajawahi leta amani mahali popote pale.Huwa hana huo muda,walichofanya polisi jana ni majibu kwa viongozi wa dini,lissu yuko ndani bado na wa nje wamekula mkong'oto,so viongozi wa dini wafanye kazi waliyoandika kwenye usajili wa taasisi zao
HAKIKA.Ila kweli..unawapigaje wamama wanawake na kuwavua nguo..
Mbona ilikua jambo rahisi tu lisilohitaji kuvunja watu miguu na kudhalilisha, kumleta Lisu mahakamani basi ..askari wanatakiwa kulinda raia na mali zao, askari au mwanajeshi rafiki yake wa kwanza ni mwananchi....ni reforms zipi hizo zinazolindwa zisibadilishwe kwa kupiga na kutesa watu.?