Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Hana jipya huyo uwa anatetea sana polisi na hajawai kusimamanupande wa wananchi toka aapishwe uwa ni kuwatetea tu na kuwamwagia sifa hakuna jipya
Ni kweli kwa kua uwa asikilizwi sana watu uwa wanapuuza hotuba zake, pengine kaona apite na huu upepoHata kama ni kweli inaweza kuwa ni mambo mengine tu ya kawaida ya kila siku au labda hata kuporomoka kwa shillingi, changamoto za mchele na ndizi kuingia Malawi
Kumbe ndio maana kachomoa kwenda VATICAN …anaogopa maswali ya viongozi wengine wa nchi …?Nimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Mabo ya kifirauni in kabisa watu wasio na hofu ya MunguNimeambiwa kuwa leo saa mbili usiku Rais Samia atahutubia nchi.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
Profesa Juma atakumbukwa kwa huu ujingaHawajajipanga kabisa, mahakama inakaba huku,Polisi wanakaba kule ni gomvi tuu
Tanza gizaRais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.
Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!
View attachment 3315320
Ni kujitenga na vitendo vya jana, hivyo ICC ni wengine si mimiHata kama ni kweli inaweza kuwa ni mambo mengine tu ya kawaida ya kila siku au labda hata kuporomoka kwa shillingi, changamoto za mchele na ndizi kuingia Malawi
SidhaniNi kujitenga na vitendo vya jana, hivyo ICC ni wengine si mimi
NakaziaAjiuzulu