ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Kweli ati ! 👍Kwani kuna tatizo gentleman kupata salamu za rais kuelekea maadhimisho siku kuu ya Muungano kesho ?🐒
Itakuwa ni Salam za Muungano 🤣🤣
Lakini na pia kutakuwa na matone matone ya masuala mengineyo ya kujaziliza Salam za Muungano no doubt abt that Gentleman 🙌👍🙏 !!