Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Mitano tena mkuuš¤£Hotuba ya kipuuzi sana
Mitano tena mkuuš¤£Hotuba ya kipuuzi sana
Marais wote duniani wanasoma teleprompter na wakimaliza wanatembea.Kashamaliza kusoma teleprompter katembea---
unaona kabisa she has no remorse of what transpird yesterdayRais Samia ameeleza pia kuwa falsafa ya 4R isiwe sababu ya kuvunja sheria. Aidha amewataka
Muungano ni batiliHOTUBA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA TAIFA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
well done Dr Samia Suluhu Hassan šŖšHOTUBA YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA TAIFA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR
nnilidhani atakuwa mfariji, kumbe humo humo mwa plisiHivi huyu anatuonaje wa Tanzania ? Anamshikilia kiongozi wa upinzani kwa kwa tukokuwa na kosa na ni kinyume cha sheria ..... pili wafuasi wake wasiende mahakamani , wakienda anatoa amri wakamatwe na wauwawe ....harafu anakuja tena kusema hakuna aliyejuu ya sheria ....sasa ye anazifuata sheria gani ? Na bado miezi 7 ...tutegemee mauaji ya kutisha .
Hivi wanao vunja sheria ni kina nani kama sio Ccm na serikali yao?? Tukatae huu upuuzi wa CcmMungu ambariki Rais wetu,,ila kwa Jana polisi wamekosea..Chadema Sisi CCM tuwajibu Kwa hoja,,,Hawatuwezi KATU.
AMINAAtalipa atalipa tena atalipa kwa ukubwa tu.
Umezoea maneno mengi ya Braza K?Unahutubia Taifa dakika 5!!!