PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

PreGE2025 Rais Samia: 4R zisitumike kama kisingizo cha kuvunja sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!

View attachment 3315320
Muda huo situtakua tunacheki game ya Mamelod asante Caf kwkauweka game leo Ijumaa
 
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!

View attachment 3315320
Huyu anaweza kuwasifu polisi na kutoa vitisho kama kwenye issue ya mzee kibao.
 
Bila ya shaka ni kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya Muungano hapo kesho
 
Huwa hana huo muda,walichofanya polisi jana ni majibu kwa viongozi wa dini,lissu yuko ndani bado na wa nje wamekula mkong'oto,so viongozi wa dini wafanye kazi waliyoandika kwenye usajili wa taasisi zao
Naona upo hapa kumtetea wa imani yako Sheikh Samia
 
Nashauri asubiri mpira uishe Kwanza ndio aje kuhutubia Taifa, Leo itakua ni lawama kwa maaskofu Tu, Hana jipya, mambo ya mgogoro wa Malawi wala hatauzungunzia
 
Hata kama ni kweli inaweza kuwa ni mambo mengine tu ya kawaida ya kila siku au labda hata kuporomoka kwa shillingi, changamoto za mchele na ndizi kuingia Malawi
Hao wapumbavu wamezoea uzushi na upotoshaji, ni mwehu tu anaweza kuwasikiliza
 
Kwani serikali ni ya nani?? wanafarakanisha vipi wakati serikali ndo inahusika? Police ni sehemu ya serikali. uliofanyika jana ni ushetani na si kitu cha kushabikia. Sioni sababu watu kuuwawa na kuvunjwa viungo vyao sababu ya kulinda serikali ya ccm.
Ulitegemea iwabembeleze watu waliopanga kufanya uhalifu? We kwl akili zako km za ngiri pori. Mtashughulikiwa kwa kadiri inavyofaa, mtavunjwa viuno, miguu na mikono mpk viungo vya uzazi. Mkome mheshimu na kuitii serikali iliyoko madarakani.
 
Nyinyi wapumbavu mlinipinga sana miaka miliwi nyuma nilipo waambieni kuwa samia atamwaga damu ya kutosha kama ataendelea kutaka kiti cha urais 2025 mkanitukana na kunikashifu na kuniita mimi ndiyo mpumbavu ....sibahatishi tena samia akifanikiwa kuchukua nchi 2025 kuna kitu atakitaka kulazimisha kuongoza hadi 2035 shikeni haya maneno yangu ....ila ni ngumu samia kuvuka salama hii miaka mitano ijayo labda atumie mbinu ya kuunda serikali ya mseto.
Samia nani atamzuia we kima?
 
Rais Samia Suluhu Hassan anategemea kulihutubia Taifa saa mbili kamili usiku wa leo, Aprili 25, 2025.

Nasisitiza tena, yaliyotokea jana nchini mwetu hayapo hata kwenye nchi za madikteta! Ni mambo ya kufarakanisha kati ya watawala na wenye mawazo tofauti. Ni chuki ni uhasama!

View attachment 3315320
Sitamsikiliza
 
Nchi yenye watu ambao mafuvu yao akili hazija rudishiwa , kikikiki

Watu wakinyamaza eti ndiyo amani kumbe kunyamaza ni kusalimu amri kwa mjukumu ya kijamii

Silence surrenders public responsibilities
 
Back
Top Bottom