Rais Samia aachane na mtindo wa kuhutubia njiani; hauna tija na ni hatari kwa usalama wake

JPM kwake Chato sio Mwanza
Pale mahali kuna maaskari wa kila aina. Mwanza ni kwa JPM ambaye ndio aliyempa umakamu uliompa fursa ya urais.

Nilichogundua ni kwamba huwa anakohoa akisimama na kuhutubia akiwa garini.
 
Alikuaje Rais kama hakuwa anajua matatizo ya wananchi wake?
Hivi kama raisi hasimami sehem akasikia matatizo ya wananchi wake kupitia vinywa vyao wenyewe atajuaje kama wananchi hao wanashida ya maji, barabara, umeme na kero nyingine nyingi zinazowahusu wananchi wa sehem husika. Kumbuka wawakikilishi wengi wa wananchi wakiwemo wabunge, huwa wanawakilisha tu matatizo ya matumbo yao ili waweze kuongezewa mishahara yao.
 
Kura bongo ni kiini macho na geresha tu, 'system' kupitia tume ndio inaweka watu madarakani.
uko ni kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi wa CCM KULIKO KANDA YEYOTE NI LAZIMA ASIMAME KILA SEHEMU MAANA NI KANDA PENDWA NA YA KIMKAKATI
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
Kwani mama Samia ana maadui gani hadi usalama wake uwe shakani kwa kuhutubia wananchi barabarani?
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
🤣🤣🤣 show kama hizo za MU 7 na PAKA wa Rwanda

images (29).jpeg

images (28).jpeg
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
Tulia ww mtu mjinga mjinga
 
Mwendazake alitesa, aliteka na kuuwa. Ndiyo maana bado tunamsimanga ili ateswe vizuri huko motoni.
Mungu sio baba ako ndio kamuondoa huyo Mwendazake ila shetani kamuacha hadi leo, sasa jiulize shetani ana athari kiasi gani hapa ulimwenguni ukilinganisha na huyo Mwendazake.
 
Kweli kwa dakika 10-30 anazosimama barabarani anaweza KUFAHAMU shida za wananchi? Vipi wale ambao hawapati fursa ya kuzungumza? Vipi wale walio mbali kama kule Nyambiti, Ng'washilalage, Ng'wabaghole n.k.?

Pili, kama Rais anasubiria kujua kero za wananchi kupitia hizo rapid assessments, huoni kama ni tatizo katika mfumo wa mipango na sera?

Na mwisho, hivi kuna kero au shida ambayo haijulikani (mpya) mpaka Rais asimame barabarani?
Dakika 10-30 ni nyingi sana kama raisi au kiongozi ataamua kuzitumia vizuri kujua shida zao. Sio lazima kila mtu apate fursa ya kuzungumza nafikiri mwananchi mmoja au wawili wanaweza kuzungumzia kero za sehem husika kwa niaba ya wenzao wote ndio maana kila jimbo lina mbunge mmoja tu kwa ajili ya kuwakilisha kero bungeni za wananchi anaowaongoza. Swali la pili raisi na serikali ni binadamu kama walivyo binadamu wengi kuna kero au matatizo mengine yanatokea bila raisi kujua mfano mtu anaweza kudhulumiwa kiwanja chake akaenda kushitaki polisi afu yule mshitakiwa kutokana na cheo chake, umaarufu wake au pesa zake akaachwa tu mtaani bila kuchukuliwa hatua zozote, sasa watu wa aina hiyo kama hawajamuona raisi ana kwa ana na kueleza matatizo yao unafikiri hizo haki zao watazipataje?
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
Huwezi kufanya maandalizi ya kugombea UJPM 2025 bila kuwa na tabia za JPM. Nadhani umeelewa
 
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).

Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.

Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).

Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).

Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.

Kama wa kuhutubia wapi, nashauri asimame awahutubie. Kama hawapo anasimama kufanya nini?
 
Back
Top Bottom