Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tuwekee na za PAKA tuone hapa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] show kama hizo za MU 7 na PAKA wa Rwanda
View attachment 1817423
View attachment 1817424
Wewe ndio msemaji wa watu?Nakuelewa. Lkn huyu anayemuiga hakuwa kipenzi cha watu kiviiile. But anyway!
Alionekana tu. Kwani kuna mtu alikuwa hajui hilo? Kilichomuua unakijua? Alitumia nguvu sana kutafuta sifa mpk akapungukiwa kinga, akashambuliwa na korona ikakata moto wa pacemaker.Wewe ndio msemaji wa watu?
Umedhiirisha hoja yangu; kuna tatizo kwenye mfumo wa utendaji kazi. Nchi hii ilivyo kubwa kutegemea mpaka Rais apite ndiyo tatizo litatuliwe, hakuna ufanisi hapo.Dakika 10-30 ni nyingi sana kama raisi au kiongozi ataamua kuzitumia vizuri kujua shida zao. Sio lazima kila mtu apate fursa ya kuzungumza nafikiri mwananchi mmoja au wawili wanaweza kuzungumzia kero za sehem husika kwa niaba ya wenzao wote ndio maana kila jimbo lina mbunge mmoja tu kwa ajili ya kuwakilisha kero bungeni za wananchi anaowaongoza. Swali la pili raisi na serikali ni binadamu kama walivyo binadamu wengi kuna kero au matatizo mengine yanatokea bila raisi kujua mfano mtu anaweza kudhulumiwa kiwanja chake akaenda kushitaki polisi afu yule mshitakiwa kutokana na cheo chake, umaarufu wake au pesa zake akaachwa tu mtaani bila kuchukuliwa hatua zozote, sasa watu wa aina hiyo kama hawajamuona raisi ana kwa ana na kueleza matatizo yao unafikiri hizo haki zao watazipataje?
Msimpangie Mama.. Lipi jema kwenu?Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).
Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.
Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).
Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).
Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
Wananchi wangapi wanapata fursa ya kutoa kero zinazowasibu kwenye hiyo mikutano isiyo rasmi ya njiani?Mnazungumzia sana demokrasia lakini naona wengi wenu mnaijuwa Domo- krasia.
Rais kuzungumza na wapiga kura wake macho kwa macho wakiwa maeneo yao wanayo ishi, na kuzungumzia kinacho wakera au nini wanataka, kwa vinywa vyao. Kitendo hicho ni kupractise demokrasia kwa kiwango cha juu kabisa, for president to physically be engaged with his constituents.
Kama anão muda aendelee tuu.
Mkuu.. ndio maana nikasema raisi na serikali yake ni binadam kama tulivyo mimi na ww. Hawawezi kujua kila linalofanyika nchini bila mengine kuyaona au kuyasikia wenyewe kutoka kwa wahusika. Hata marekani ambapo wengi tunaamini kwamb wana mifumo imara kuna mambo mengine huwa yanafanyika bila serikali au raisi kujua, chukulia mfano swala la Urusi kuingilia uchaguzi wa marekani mwaka 2015 chini ya raisi Obama, walifanya kile walichofanya bila Obama mwenyew au serikali yake kujua japo walikuja kujua baadae kabisa baada ya uchaguzi kumalizika, wahamiaji haramu wanaingizwa marekani kupitia njia za panya na vyombo vya usalama wakishirikiana na uhamiaji vipo, Oliega alikuwa muingizaji na muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya lkn ilichukua miaka mingi bila vyombo vya usalama kumkamata nk. Kwahiyo kuna mambo au kero nyingine haziwezi kutatuliwa ki urahisi mpk pale mkubwa anapoingilia kati kwa vile hawa wa chini wengi (sio wote) ni wababaishaji na ubabaishaji haupo kwa Tanzania pekee bali ni kwa dunia nzima kama nilivyokutolea mfano hapo juu. Ni Mungu pekee ndio mwenye uwezo wa kujua kila kinachofanyika hapa dunia iwe usiku au mchana.Umedhiirisha hoja yangu; kuna tatizo kwenye mfumo wa utendaji kazi. Nchi hii ilivyo kubwa kutegemea mpaka Rais apite ndiyo tatizo litatuliwe, hakuna ufanisi hapo.
Utetezi dhaifu, wawakilishi wote kuanzia serikali za mitaa, madiwani mpaka wabunge ni wa ccm, ni kero zipi wameshindwa kumpelekea mpaka yeye awasikie hao wananchi mwenyewe? Huyo mama anachofanya ni copy & paste zile mbinu ya siasa za Magufuli akidhani ndio zitaipa ccm mvuto.Mnazungumzia sana demokrasia lakini naona wengi wenu mnaijuwa Domo- krasia.
Rais kuzungumza na wapiga kura wake macho kwa macho wakiwa maeneo yao wanayo ishi, na kuzungumzia kinacho wakera au nini wanataka, kwa vinywa vyao. Kitendo hicho ni kupractise demokrasia kwa kiwango cha juu kabisa, for president to physically be engaged with his constituents.
Kama anão muda aendelee tuu.
Bango linaweza kuandikwa hata matusi na mbebaji akadai kwamb alipewa na mtu akaliwakilishe huku yeye mwenyewe mbebaji akiwa hajui kilichoandikwa maana hajui kusoma wala kuandika. Lkn matusi hayo ya kwenye bango mtu hawezi kuyaongea kwa kinywa chake mwenyew afu aseme eti alikuwa haelewi anachoongea.Samia amekwisha kataa kuona kero za watu kwenye mabango, je anaruhusu kusikia kero hizo hizo kwa mdomo?
Ndio maana wachumia tumbo na wafia upinzani wengi wanaonesha kukerwa na style hii, maana wanajua ndio itakuwa kaburi lao mwaka 2025 baada ya muheshimiwa raisi kujua kero na matatizo ya wananchi kupitia njia hii na kuzitatua kwa wakati. Tuliona viongozi wengi wali copy hii style ktk uchaguzi wa mwaka 2020 mmoja wao ni Lisu alipokuwa anasimama na yeye njiani kujifanya ana wasalimu wananchi na huku akipiga kampeni zake hapo hapo. Kuendelea kutumiwa na wanasiasa chakavu wa upinzani kama daraja la kufikia mipango yao inataka moyo aisee.Utetezi dhaifu, wawakilishi wote kuanzia serikali za mitaa, madiwani mpaka wabunge ni wa ccm, ni kero zipi wameshindwa kumpelekea mpaka yeye awasikie hao wananchi mwenyewe? Huyo mama anachofanya ni copy & paste zile mbinu ya siasa za Magufuli akidhani ndio zitaipa ccm mvuto.
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).
Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.
Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).
Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).
Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
Ndio maana wachumia tumbo na wafia upinzani wengi wanaonesha kukerwa na style hii, maana wanajua ndio itakuwa kaburi lao mwaka 2025 baada ya muheshimiwa raisi kujua kero na matatizo ya wananchi kupitia njia hii na kuzitatua kwa wakati. Tuliona viongozi wengi wali copy hii style ktk uchaguzi wa mwaka 2020 mmoja wao ni Lisu alipokuwa anasimama na yeye njiani kujifanya ana wasalimu wananchi na huku akipiga kampeni zake hapo hapo. Kuendelea kutumiwa na wanasiasa chakavu wa upinzani kama daraja la kufikia mipango yao inataka moyo aisee.
Mwanza ni kwa watanzania siyo kwa JPM acheni uzwazwa.
Mama anapita njia za meko,yeye kila uchwao ni kuzindua vitu ambayo waziri anavimudu,angejikita kufanya marekebisho angalia budget ilivyo ya hovyoMwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani.. (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).
Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.
Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi karibuni la rais wa Ufaransa E. Macron kupigwa kibao na mwananchi).
Haya ya kusimama njiani yanawezekana kwa viongozi wanaotawala kwa mkono wa chuma (madikteta tu).
Ni ushauri tu. Mawazo hayapigwi mawe.
uko ni kanda ya ziwa yenye wapiga kura wengi wa CCM KULIKO KANDA YEYOTE NI LAZIMA ASIMAME KILA SEHEMU MAANA NI KANDA PENDWA NA YA KIMKAKATI