Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Upo sahihi lakini huyo mtu kutokana na udhaifu wenu kaweza kugushi vyeti na kupata ajira tena wengi kungekua hakuna huo udhaifu na rushwa hao watu wasingeweza kugushi vyeti Kuna kesi moja SA mwanafunzi baada ya kukosa ajira muda mrefu alitumia udhaifu wa security wa day za serikali akajiali alichukua mshahara bila kwenda kazini alipata huduma ya afya na kadi alitengeneza pia kilichofanya akamatwe alikua hacha ngii mifuko ya jamii tuu...Kwa hili nadhani mama Samia ameliwazia kisiasa zaidi badala ya kiweledi.....
Mtu aliyeghushi vyeti vya kitaaluma ni mhalifu na angetakiwa awe jela......wanasiasa wetu wana akili ndogo sana, daima wanawaza kutoa kauli na matamko yatayowafurahisha wapiga kura ili waendelee kubakia utawalani........
Mtu anayekalia nafasi ambayo ametumia njia za udanganyifu kuipata anazuia nafasi kwa wengine waliovuja jasho kwa ajili ya nafasi hiyo.......
Wanasheria tena Gel ndio alikua akimsimamia bure ilienda mpaka kufungulia kesi ya fraud tuu kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu hicho kipengele cha udhaifu wa serikali kulinda data zao kilimbeba kesi ya 2019..
Nakuja kwenye hitimisho hao waajiriwa waliajiliwa na serikali kimakosa na kwa muda mrefu wamekatwa nssf zao walipwe maana ni makato kutoka kwenye mshahara wao sio kuwa wanapewa bonus ya kufanya kazi cha msingi tuondoe ubinafsi ili kupata wenye sifa ndio wapate ajira..