Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
etwege tuliza mshono nani asiyejua kuwa unaid fake nyingi humu.Bila shaka mleta mada ni vyeti feki ndiyo anawapigania sana walipwe.
Pia anachuki sana na Magufuli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
etwege tuliza mshono nani asiyejua kuwa unaid fake nyingi humu.Bila shaka mleta mada ni vyeti feki ndiyo anawapigania sana walipwe.
Pia anachuki sana na Magufuli
Mtu unahangaika na Pure mathematics, BAM afu mwingine anaserereka tu hapana kwakweli 😁😁😁😁Wakati wanaghushi vyeti hawakujua kuwa ni kosa kisheria. Unapoleta huruma zisizo na msingi katika vitu sensitive kama elimu unakosea sana mkuu.
Zamani sisi tulikuwa tunarudia darasa baada ya kufeli shule, kwa nini wao wakaamua kutumia shortcut ya kununua vyeti vya ndugu zao badala ya kurudia madarasa na mitihani?
Ukitetea ujinga kisa huruma ndio tunaishia kuwa taifa pa hovyo kabisa.
Vipi watalipwa ?Toka Mbowe awe makamu wa IDU naona nyuzi za kidwanzi sana kutoka kwako .
Nakushauri Jambo moja unaugua ugonjwa usioujua ila dawa ipo nakushauri uwahi kutumia dawa
Tuliuliza wataje majina ya waliolipwa hata wawili tu , wakakimbia na hwajarudi hadi leo
Viongozi wa Tanzania ni makatili sana !Aisee basi walifanya propaganda sana maana nilishangaa kuona ile habari kwenye TV kwamba PSSSF washaanza kulipa watu 😀
Kama Mama SSH alitoa maagizo kisha Ma DG wa NSSF/PSSSF wakafanya maigizo basi inabidi watimuliwe haraka sana.Viongozi wa Tanzania ni makatili sana !
Ana ubavu huo ?Kama Mama SSH alitoa maagizo kisha Ma DG wa NSSF/PSSSF wakafanya maigizo basi inabidi watimuliwe haraka sana.
Turudi kwenye hoja. Rais alidanganya kwa manufaa gani na ya nani?Toka Mbowe awe makamu wa IDU naona nyuzi za kidwanzi sana kutoka kwako .
Nakushauri Jambo moja unaugua ugonjwa usioujua ila dawa ipo nakushauri uwahi kutumia dawa
Swali muhimu sana hili kwa wavuja jasho wa ccmTurudi kwenye hoja. Rais alidanganya kwa manufaa gani na ya nani?
Mjibu kwanza sio talalila zako!
Kwani muongo na mwizi au tapeli wanatofauti gani?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kuna mtu namfahamu alikuwa na raha kweli wiki mbili zilizopita kapewa zile 5% anamalizia nyumba yake na muda si mrefu ataacha kusumbuana na wenye nyumba maana hata kochi hana sababu ya wenye nyumba kuchukua vitu vyake anapofeli kodi. Jamaa ana mke na watoto alinyanyasika sana baada ya cheti chake kuwa na hitilafu.Tuliuliza wataje majina ya waliolipwa hata wawili tu , wakakimbia na hwajarudi hadi leo
Wewe ndiye wa hovyo!
Hujui hata unachopigia kelele!
Una roho ya korosho ya dhuluma.
[emoji120][emoji120][emoji120]
Turudi kwenye hoja. Rais alidanganya kwa manufaa gani na ya nani?
Mjibu kwanza sio talalila zako!
Kwani muongo na mwizi au tapeli wanatofauti gani?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hivi kwa nini umem post huyu mzalendo?