Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Wakati wanaghushi vyeti hawakujua kuwa ni kosa kisheria. Unapoleta huruma zisizo na msingi katika vitu sensitive kama elimu unakosea sana mkuu.

Zamani sisi tulikuwa tunarudia darasa baada ya kufeli shule, kwa nini wao wakaamua kutumia shortcut ya kununua vyeti vya ndugu zao badala ya kurudia madarasa na mitihani?

Ukitetea ujinga kisa huruma ndio tunaishia kuwa taifa pa hovyo kabisa.
Mtu unahangaika na Pure mathematics, BAM afu mwingine anaserereka tu hapana kwakweli 😁😁😁😁
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Toka Mbowe awe makamu wa IDU naona nyuzi za kidwanzi sana kutoka kwako .

Nakushauri Jambo moja unaugua ugonjwa usioujua ila dawa ipo nakushauri uwahi kutumia dawa
Turudi kwenye hoja. Rais alidanganya kwa manufaa gani na ya nani?
Mjibu kwanza sio talalila zako!
Kwani muongo na mwizi au tapeli wanatofauti gani?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wenye vyeti feki hawatalipwa, bt uwe na HAKIKA pesa imeshatoka kuwalipa hao wasiojulikana.
 
Tuliuliza wataje majina ya waliolipwa hata wawili tu , wakakimbia na hwajarudi hadi leo
Kuna mtu namfahamu alikuwa na raha kweli wiki mbili zilizopita kapewa zile 5% anamalizia nyumba yake na muda si mrefu ataacha kusumbuana na wenye nyumba maana hata kochi hana sababu ya wenye nyumba kuchukua vitu vyake anapofeli kodi. Jamaa ana mke na watoto alinyanyasika sana baada ya cheti chake kuwa na hitilafu.
 
Back
Top Bottom