Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Nyie ndio wote mnazidi kulipotosha hili suala mtu umeambiawa CHeti feki maana yake mshahara aliopokea miaka yake yote ni feki haukuwa halali yake sasa hiyo michango inawezaje kuwa halali, tuache kumpotosha Rais wetu mwisho wa siku sio nyie mtakaolaumiwa.Wali sio wastaafu ,wale ni waliofukuzwa kwa vyeti feki ,kwahiyo ilitakiwa walipwe 25% ya mfao waliochangio yote.
Hao vyeti feki hata kama tunawapenda namna gani tukubali walifanya makosa ya jinai na walipaswa kufutwa kazi na kufungwa au kama waliona wameonewa wangekwenda kudai haki yao mahakamani.