Rais Samia aagiza Darasa la Saba waliofutwa kazi walipwe stahiki zao

Wali sio wastaafu ,wale ni waliofukuzwa kwa vyeti feki ,kwahiyo ilitakiwa walipwe 25% ya mfao waliochangio yote.
Nyie ndio wote mnazidi kulipotosha hili suala mtu umeambiawa CHeti feki maana yake mshahara aliopokea miaka yake yote ni feki haukuwa halali yake sasa hiyo michango inawezaje kuwa halali, tuache kumpotosha Rais wetu mwisho wa siku sio nyie mtakaolaumiwa.

Hao vyeti feki hata kama tunawapenda namna gani tukubali walifanya makosa ya jinai na walipaswa kufutwa kazi na kufungwa au kama waliona wameonewa wangekwenda kudai haki yao mahakamani.
 
Acha Upotoshaji Mkuu , Ulimsikiliza Mh SSH na Waziri Muhagama kuhusu Malipo ya waliofukuzwa kwa vyeti feki?
 
Kazi walifanya au hawakufanya?
 
Wewe ndio unapotosha. Kisheria huwezi kudai madai halali ikiwa ndani yake kuna wizi uliofanyika wewe unadhani kwanini walipaji wamestuka na kuacha kulipa ni kwa sababu hiyo hiyo ya upotoshaji mlioufanya kwa Mh Rais kuhusu vyeti feki.

MSHAHARA FEKI WA WIZI, MICHANGO YA NSSF INAKUWAJE HALALI.
 
Aiseeee hivi unajua maana ya kauli ya Rais? Mahakama ilitoa hukumu kuhusu babu seya ,hadi rufaa ikabuma lakini rais alitengua hukumu na wakatoka.......Kwahiyo kauli ya rais ndiyo mwisho na alitamka walipwe.
 
Wale sio wastaafu ,wale ni waliofukuzwa kwa vyeti feki ,kwahiyo ilitakiwa walipwe 25% ya mfao waliochangio yote.
Hao wasahau mkuu.zile zilikuwa ni kauli zenye kazi maalumu na kazi yake ilishakwisha.

Unajua kwanini nasema hivyo?

Kuna watumishi wengi sana wanao dai malimbikizo yao.toka miaka mingi,wauuguzi na walimu ndiyo wahanga wakubwa.Kila mara utaona wanaombwa nyaraka fulani ili kuwafanya waone kama madai yao yanashughulikiwa.kinapita kimya kingi,halafu wataombwa tena walete salary slip na bank statement ya kabla na baada ya kupandishwa mshahara,halafu kimya kingi kinapita,halafu wataombwa tena walete kopi ya zile barua za kupanda vyeo halafu tena kimya.Ila mradi kuwanawisha mikono wakati wajua fika ugali haujapikwa

Sembuse hao walioachishwa kazi walipwe.hili ni jambo zito kwa serikali yetu kutekelezwa.

Halafu hivi vyama vya wafanyakazi havina maana yoyote,nadhani vingefutwa tuu au iwe hiari kwa mfanyakazi kuniunga.maana navyo ni mizigo kwa wafanyakazi,wanakata fedha zao na kujinufaisha wenyewe
 
Kazi walifanya au hawakufanya?
Hilo swali kwenye sheria halina mashiko. Kazi ndio ulifanya lakini ukiwa huna sifa na ukilipwa mshahara kwa wizi, ilipaswa mishahara yote waliyolipwa wairudishe serikalini. Nyie ndio mnashauri viongozi wetu kiuepesi wepesi matokeo yake utekelezaji umeenda kuwa mgumu mnasingizia eti Serikali haina hela.
 
Hapo sasa ndio umeongea ukweli sio hao wanaongea mambo mazito kama mbayuwayu, yaani Serikali hizo Bilioni 47 iache kulipa madai halali ya watumishi walioko kazini na wengine kwenye mazingira magumu mfano TPDF wanohangaika kulinda mipaka ya nchi. Tulipe wezi waliopumzika nyumbani?
 
Hao wasahau mkuu.zile zilikuwa ni kauli zenye kazi maalumu na kazi yake ilishakwisha.

Unajua kwanini nasema hivyo?

Kuna watumishi wengi sana wanao dai malimbikizo yao.toka miaka mingi,wauuguzi na walimu ndiyo wahanga wakubwa.Kila mara utaona wanaombwa nyaraka fulani ili kuwafanya waone kama madai yao yanashughulikiwa.kinapita kimya kingi,halafu wataombwa tena walete salary slip na bank statement ya kabla na baada ya kupandishwa mshahara,halafu kimya kingi kinapita,halafu wataombwa tena walete kopi ya zile barua za kupanda vyeo halafu tena kimya.Ila mradi kuwanawisha mikono wakati wajua fika ugali haujapikwa

Sembuse hao walioachishwa kazi walipwe.hili ni jambo zito kwa serikali yetu kutekelezwa.

Halafu hivi vyama vya wafanyakazi havina maana yoyote,nadhani vingefutwa tuu au iwe hiari kwa mfanyakazi kuniunga.maana navyo ni mizigo kwa wafanyakazi,wanakata fedha zao na kujinufaisha wenyewe
Kwahiyo serikali yenu inategemea utapeli na usumbufu kwa raia wake ?
 
Yani mtu alifeli sa saba au form four, akaamua kuchukua cheti cha ndugu au rafiki yake ambaye either hakutaka kuendelea na shule au alishasoma mda, akaingia chuo na kumaliza shule huku anaitwa Najenjwa badala ya Naomi, leo tumuite MUHANGA? Mtu mwizi, kaghushi vyeti anaitwaje MUHANGA?

Sisi tuendelee tu kuwa taifa la hovyo.
Nchi inawatu wa hovyo sana hii imagine hao ndio wanataka wapewe nchi waiongoze.
Muhalifu anaitwa muhanga??.
 
Hizi ni juhudi za kuendelea kumgombanisha Rais na wananchi. Hii ni mpango mahsusi ikiratibiwa na kijana wake mpenzi alie mpa wizara ya fedha akishirikiana kwa karibu sana na Sukuma gang ili Mama afeli yeye awe Rais.
Hakuna agizo Mama amewahi kutoa linalo husu pesa lijatekelezwa na Mwigulu. Nasema Mwigulu ndie mchonganishi wa Rais na wananchi. Days will tell..
Mwigulu mtamuonea bure, wahusika hili suala ni Januari Makamba na Nape Nnauye na walimshauri Mama Timely kipindi ambacho watanzania wengi walikuwa wanalalamikia utendaji wa mawaziri hawa.... Mgao wa umeme, wizi wa bando ndio wakatengeza hiyo ajenda wakidhani watanzania wataijadili zaidi na kuwaacha kuwajadili wao. ushahidi huu hapa chini
 
Hilo swali kwenye sheria halina mashiko. Kazi ndio ulifanya lakini ukiwa huna sifa na ukilipwa mshahara kwa wizi, ilipaswa mishahara yote waliyolipwa wairudishe serikalini. Nyie ndio mnashauri viongozi wetu kiuepesi wepesi matokeo yake utekelezaji umeenda kuwa mgumu mnasingizia eti Serikali haina hela.
Aliyempa kazi mtu ambaye hana cheti kwa muda wote huo na akawa anamlipa mshahara ni nani?
 
Sasa kwa uandishi huu, wewe sio wa vyeti fake bali elimu fake yaani ngumbaru.
Mie sio underage mwenzako, nime retire na watoto wote ni graduate.
Sasa jibuni swali, kwa nini kadanganya taifa?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Vyeti feki ndio walioanza kudanganya taifa wakajipatia kazi kwa njia za udanganyifu.
 
JamiiForums-1013859745_377x512.jpg
 
Uongozi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuweni na aibu wakati mwingine hivi unawezaje kumlipa mtu ambaye alikuibia ? kama ni msamaha mliwasamehe kwa kuwafuta kazi maana yake ni kwamba mshahara waliokuwa wanapata kupitia ajira ya vyeti hivyo mliona unatosha na kuwafuta kazi.

iweje leo watu walioghushi vyeti na kuibia serikali walipwe pesa za umma ! Raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania asifikri kulipa malipo hayo ni sifa bali atakuwa amejichafua mwenyewe hii itamaanisha hakuna umakini uliopo katika serikali anayoiongoza.

kuna tetesi kuwa yale ma vyeti ya posta kila mtu ananunua kwa wakati wake na wa nunuzi wakuu ni watu ambao walishapata ajira serikalini na hununua waliowengi ili waweze kupanda madaraja kulingana na elimu zao kwa sasa kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake.

Baada ya kuielewa ccm vyema na serikali kwakweli hata mimi nimeona nianze kujiongeza kwa baadhi ya mambo ili mradi nisije kupata tatizo lolote.
nchi hii ukijifanya mzalendo wa kila kitu utakufa masikini.

Ushahidi mkubwa nilioona ni pale mwenyekiti wa chama cha ccm na raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania ambao alianza kutukana wakosoaji wake ndani ya chama kwa kusema mtu anayejuwa itikadi za chama hawezi kuleta nongwa hii alimaanisha hataki watu wakosoe mabaya yanayofanyika ndani ya nchi hasa ukiwa ndani ya ccm, sasa ajue kuwa nchi hii siyo miliki ya ccm ataondoka ataiacha na hawezi juwa ni viongiozi gani watakuja asishangae akaitwa mahakamani kwa makosa aliyoyafanya akiwa raisi, lipa vyeti feki hiyo haifutiki siku moja utaulizwa maswali.
 
Wengi walionea tu na Iblis
 
Back
Top Bottom