Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Sio sawa kama utachukulia wote ni binadamu na wako kihalali maeneo yao. Lakini ukiondoa hilo, ni sawa kwakuwa Wamasai kwanza hawana dini wanaishi porini, wanaweza kuswagwa tu kwa manufaa ya taifa hili.
 
Sio sawa kama utachukulia wote ni binadamu na wako kihalali maeneo yao. Lakini ukiondoa hilo, ni sawa kwakuwa Wamasai kwanza hawana dini wanaishi porini, wanaweza kuswagwa tu kwa manufaa ya taifa hili.
Ur not normal..
 
Watanzania mliopo Ngorongoro.
Tuleteeni hapa taarifa ya yaliyojiri hususan eneo la afya na watoto waliodhurika ama kufariki kwa kukosa huduma za afya.

Tuelezeni, wagonjwa waliokuwa wamelazwa hosputali za huko walihamishwa ama waliruhusiwa warudi majumbani baada ya serikali kusitisha huduma za afya.

Tukusanye ushahidi ili tutoe hukumu ya haki kupitia vichanjo vyetu vya kura
 
Naona hii issue wanaifubaza na matukio meeengi ya kuteka hisia za watu ila isiachwe iende kizembe.
 
Wamasai nao wakome kuingiza ng'ombe wao kwenye mashamba ya watu
 
Back
Top Bottom