Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
kuja hapa big SWO
Mtu anayekuua kweli anakupenda?Niliposikia eti Samia anawapenda sana nimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu anayekuua kweli anakupenda?Niliposikia eti Samia anawapenda sana nimecheka sana
Kwa hiyo Rais anatengua kauli ya nani huyo aliyeamuru jambo kubwa namna hiyo la kuvuruga wananchi bila Rais mwenyewe kuwa na taarifa?Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.
Soma Pia:
- Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
- Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Swali LA msingi..Kwa hiyo Rais anatengua kauli ya nani huyo aliyeamuru jambo kubwa namna hiyo la kuvuruga wananchi bila Rais mwenyewe kuwa na taarifa?
Yaweza kuwa ya kweli haya!
Mbona jambo hili inaonesha kuwa yeye ndiye anafanya drama za kuanzisha tatizo na kulitanzua?
Maana hakuna Waziri ama kiongozi yeyote anayeweza kufuta Tarafa na vijiji na kuzuia huduma za kijamii bila kupata baraka za Rais mwenyewe.
Wapi nimemuosha mtawala hapo?????????Ni nani ali ziondoa??
Acheni kumuosha huyu mtawala. Walifanya makosa hawa takiwi kusifiwa.
Aibu yenu. Imekuuma sanaSasa Nyinyi wamasai SI mnasema mnaishi porini na wanyama?Sasa mkate na soda za Nini?SI mle majani kama hao wanyama mnaokamaa kuishi nao?
Kwa LIPI?wapi umeskia imesemwa plan ya kuwahamisha imesitishwa?Hilo zoez lazima liendelee...Aibu yenu. Imekuuma sana
Kumbe ni kweli zilikuwa zimeondolewa? Kwamba hakuna watu au nini wakati tuliambiwa kuhama ni hiari?Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.
Soma Pia:
- Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
- Njama: Vituo vyote vya kupigia kura Jimbo la Ngorongoro vimefutwa, ila watu bado wapo na Jimbo bado lipo
Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Kwelikabisa mkuu huwa naumia sana kila nikiwaza hili. Tunaumizwa na kunyanyaswa na mzanzibari ambae hana uchungu na watanganyika. Na viongozi watanganyika wenzetu wako kimya wana sapoti huo uonevu. Hivi kama anayafanya hayo kipindi hiki ambacho anaomba kura zetu itakuwaje kama tukimchagua? Maana atakuwa hana mpango wa kuomba kura tena si ndo atafanya mabaya zaid? Angejua kipindi hiki angefanya mema sana kwa watanganyika wala asingeshugulika na wazanzibar maana kule yuko mwinyi anaongoza vizuri sana. Angeficha makucha kidogo kuliko kufanya hayo yanayofanywa kwa sasaWakulaumiwa ni Watanganyika wenzetu wanaotusaliti kwa kunogewa na asali.
Ila kusema kweli Serikali ya ccm inafanya mambo ya aibu na fedheha sana kwa wananchi.Wamasai wa Ngorongoro wafanikiwa kumzibua masikio chura kiziwi!