Pre GE2025 Rais Samia Aagiza urejeshwaji wa huduma za kijamii Ngorongoro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Tengeneza tatizo, tatua tatizo, pata ujiko
 
tax.jpg

Bila shaka nchi Ina amani tele!
 
Nani alisitisha hizo huduma huko Ngorongoro?
Kama ni yeye Mama basi atuombe radhi wote kwanza, awajibike na mateso yote.
Na hili ndilo jambo kuu..
Yeyote aliesitisha huduma awajibishwe
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Rais asiyekuwa na huruma kwa raia anaowaongoza, yaani karejesha huduma za kijamii kwa sababu tu ya uchaguzi ili asikose kura?
 
Watu 3 wa kuwapongeza kwa kusimamia kidete kukemea hujuma zilizofanywa dhidi ya Masai ni chadema, TLS (chama cha wanasheria) na TEC (baraza la maaskofu). Tuliobaki tulikuwa kimya, tubakie kimya.
 
Hiyo ngorongoro ni aibu na ingekua doa kwa uongozi wa Samia.

Arekebishe hilo jambo.

La litamchafua kwa muda mrefu mno.

Vizazi na vizazi watakua wanasimuliana wakimtaja.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
Huu uongozi haujui unataka kufanya nini wanaangalia tu upepo unakwenda wapi, leo wanaamua hivi kesho vile.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Soma Pia:

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wahamishwe hao wafugaji tangu lini binadamu, mifugo na wanyama pori wakaishi pamoja tena kwenye hifadhi ya taifa, wanyama pori watapotea na hifadhi itaharibika. Wabantu tulihamishwa operation vijiji vya ujamaa from our ancestral lands yakapita. Ardhi za kuhamia zipo nyingi. utalii ni kwa faida ya watz wotee kiuchumi itaboresha afya na elimu nk nk
 
Wamasai safiiiiiii
Wamasai oyeeeee
Wamasai wapewe maua yao
Wamasai wamezibua masikio ya Chura kiziwi
Ukiona mpaka Ikulu imesanda ujue WAMASAI SIO WATU WA MCHEZOMCHEZO au Mpechempeche hahhahahahhaha

samia kasanda
Ni nani ali ziondoa??
Acheni kumuosha huyu mtawala. Walifanya makosa hawa takiwi kusifiwa.
 
chadema wanataka kumchonganisha mama na wamasai wallah
Hizo drama mnazozifanya ni kwa faida ya nani?
kuna chokochoko wanazipandikiza
Ili ta
Mmepiga kelele huduma zimerejeshwa shida nini tena, mbona hamridhiki /nyie chadema au mnaona "MTAKOSA JAMBO LA KUPIGA NALO KELELE πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Na nisababu gani iliyopelekea hayo kabla ?

Hili tatizo ni la ccm asilaumiwe mtu wa nje ya ccm.
 
Back
Top Bottom